koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Nakuona mkuu nilimiss swaga zako karibu tena jukwaaniMaraa paaap mil 300 hizi hapa,hehehehehe ngoja nijaribu bahati yangu yaweza kuwa nikawa milionea siku ya leo.
![]()
Nakuona mkuu nilimiss swaga zako karibu tena jukwaaniMaraa paaap mil 300 hizi hapa,hehehehehe ngoja nijaribu bahati yangu yaweza kuwa nikawa milionea siku ya leo.
![]()
Siohuyu??Kuna libabu limoja la nigeria watu tumejichanga tukatuma hela kudadeki mkeka wake haujatoa ata timu moja wemeondoka na 50 yangu hiv hiv.hii mambo bora utengeneze mwenyew aise
Walipue tcraHalafu wajinga hawa wanatuma tuma tu msg zao, sijui namba zetu wametoa wapi?
kwl pambana na hali yako mzeeITALY!........ITALY!......HIVI NI KWELI AMEDROOOOOO! AU NAOTA!!????????............YAANI KASEPA NA KIJIJI!!!!
View attachment 603584
Ndio uyo mzee nyau kweli hela zetu zimeondoka hiv hiv tapeli tu uyoSiohuyu??View attachment 603640
Nilitaka nishangae P didy mtu wa ma app ukose app tamu kama hii[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nilitaka nishangae P didy mtu wa ma app ukose app tamu kama hii[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wewe jamaa duh inaelekea hii kwako ni kama kazi aiseee mpaka nataman kukufuatilia aiseee...then bro una moyo sana unapenda sana watu wafanikiwe...keep it up broAmka na Ukombozi, mshukuru Mungu sana kwaulinzi Wa maisha yako usiku wote hadi asubuhi hii, agiza malaika wa Mungu wakuletee habari njema leo kila SAA iwe ya habari njema, Luka 2:10
Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote;
Hiyo habari njema iwe juu yako na familia yako Leo hii katika jina la Yesu kristo,