app inaitwaje hii mkuuNilitaka nishangae P didy mtu wa ma app ukose app tamu kama hii[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wewe umekuwa mdau kama watatu kuja kwenye jukwaa hili ukilalamika kuwa umedhulumiwa haki hayo. Pole sana.
Inavyoonyesha hawa Biko wameingia kwenye betting bila kujipanga kwa kuwa na system imara na wachambuzi safi waliobobea kwenye soka. Swali la kujiuliza wamesajiliwa na GST? Kama wamesajiliwa ni rahisi kwenda nao kwenye sheria maana GST ipo kwa ajili ya kulinda wateja kama sisi hasa pale haki inapokuwa haijatendendeka.
Hawa BIKO na GSB wote wakuripoti...maana wamekua wababaishaji sana...namba za board hizi hapaWakuu BIKO hivi majuzi wameingia sokoni kwenye mchezo wa kubashiri soka.
Kupitia website yao.
Ajabu Leo nimeshinda tiketi wameshindwa kunilipa kabisa.
Nafikira hapa ni jukwaa la wadau mbalimbali.
Nini kifanyike?
(Bet type ilikuwa Gg& over 1.5)
Match ya Barnsley v Sheffield Wednesday
Matokeo yamekuwa 1-1.
Tiketi yangu imeandikwa Lost.
Hivi siwezi kuwafungulia malalamiko hawa jamaa ?
Majibu ya customer care wao ninayo.
Yanakera sana.
Nawaza hapa kama kuna mjua sheria tafadhali tushauriane wandugu.
Direct win Ni hatari kwa afya yako!View attachment 603715 Hii mnaionaje wadau?
Hawa BIKO na GSB wote wakuripoti...maana wamekua wababaishaji sana...namba za board hizi hapa![]()
View attachment 603715 Hii mnaionaje wadau?
Yes chief hizi za mapema hizi ndo dili mambo yakienda vizuri unatega na za mida mida pia[emoji122][emoji122][emoji122]
Yes chief hizi za mapema hizi ndo dili mambo yakienda vizuri unatega na za mida mida pia[emoji122][emoji122][emoji122]
Meridiankati ya m bet na meridian bet ipi iko poa wadau
Kweli mkuu matumaini siku zote ni kushindana na kanjibai and I hope tutashindaHawa wajapani siwaaminigi sn Chief nimestake kdg nione km nitapata ya lunch. Hope tutashinda.
Hawa wajapani siwaaminigi sn Chief nimestake kdg nione km nitapata ya lunch. Hope tutashinda.
Nimetembea nao hivi... Maana huwa wanafungana magoli sana. View attachment 603734
Naomba kuuliza: -
(1)Ili uweze kushinda fedha hadi sh. 1,000,000 kwenye m-bet unatakiwa kuchezaje?
(2)Kiasi cha fedha kikubwa zaidi unachoweza kushinda kwenye m-bet ni shilingi ngapi?
(3)Perfect 12 inachezwaje na ushindi wake ni shilingi ngapi?
Buddy kwa utaalam wako naomba unisaidie ligi ambazo hazifungani sana magoli, sasa hivi nataka niwe nabetia under1.5 FHAll the best kamanda !
Kweli mkuu matumaini siku zote ni kushindana na kanjibai and I hope tutashinda
Buddy kwa utaalam wako naomba unisaidie ligi ambazo hazifungani sana magoli, sasa hivi nataka niwe nabetia under1.5 FH
Poa mkuu, nashukuru sana.Chief hizi ni miongoni ... lkn sio guarantee, inategemea timu. Ila generally hizi ligi hazina magoli sn (mtazamo wangu).
- Spain - La Liga 2 (Segunda Division)
- Kenya - Premier League
- Poland - Ekstraklasa
- Romania - Liga 1
- Greece - Super League
- Argentina - Primera B Nacional