Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
Goodluck wadau!
![]()
Njema mkuu! Hawa GSB wanagoma kudeposit pesa kwenye account yangu. Nifanyeje mkuu..!
Goodluck wadau!
![]()
Hongera sana, mkuu mbet umempiga milioni 1?
Tunaomba tutembelee nyota yako kaka
leo napumua mkuu..Jamaa naona kaamua kuuchuna!
leo napumua mkuu..
dah...umejaribu kuongea na customer care? ila wanacustomer care mbovu sijapata ona......ukiwa unadeposit hakikisha..kiasi ulichojaza kwenye website yao ndicho unachodepositNjema mkuu! Hawa GSB wanagoma kudeposit pesa kwenye account yangu. Nifanyeje mkuu..!
dah...umejaribu kuongea na customer care? ila wanacustomer care mbovu sijapata ona......ukiwa unadeposit hakikisha..kiasi ulichojaza kwenye website yao ndicho unachodeposit
vfl![]()
HIYO VFL NI KAMA YA PRUMIER?
Duuuh, una macho makali sana Jose...Nenda hapo kwenye how to pay utaona maelezo...kubeti kunaanzia jero...
*Namba yako ndio hiyo ??
Em wacheki 0675 329 903Namba yao mkuu...!? Kila kiasi nilichokuwa naweka kinasema CANCELLED
yeah nilionaDuuuh, una macho makali sana Jose...
Em wacheki 0675 329 903
Em wacheki 0675 329 903
Huko sina acount
Em wacheki 0675 329 903
dah...umejaribu kuongea na customer care? ila wanacustomer care mbovu sijapata ona......ukiwa unadeposit hakikisha..kiasi ulichojaza kwenye website yao ndicho unachodeposit
Duuuuh had draw baba unafata. Gud star.
Hapo ukichukua mech name uktupia buku Una kuwa na more than millionsDuuuuh had draw baba unafata. Gud star.