denis fourplux
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 1,049
- 1,396
We bet kila styl ila kipigo utapata tuWakuu sorry sport pesa wana euro handcap za timu zote...yaan wanakupa handcap kwa kuzipa timu zote magoli...sasa mm sasa hivi nimeamua kwa kuwa droo zimekuwa nyingi nitakuwa natumia hizi euro handcap kubeti ili hata mechi ikitoka droo napata mzigo...nimejaribu one tym nikacheza timu 20 na odds zikaja 21.7 matokeo nimepoteza game moja tu...hapa probability ya kula ni kubwa