usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
Aisee na tutaisoma sana kama ndyoKabisa mkuu daaa yaani leo nimetapatapa ka mfa maji nikajaribu kucheza live pigwa za uso mbaya mno litimu unalipa angalao basi lipate kagoli kamoja tu kipindibcha pili lakini mhindi kabana pumbu na kweli no goal dadeki tunaisoma no mpaka kwenye kubet aseee
Hv