Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,299
- 765
ahsante..
ahsante..
mkuu kama ni swala la hizo perfect/jackpot hiwa sibeti huko sorSasa mkuu nipo online na perfect hyo ilikuwa imekaa
mkuu leo sijaona kabisa timu yani zimekaa kishoto vibaya mnoooo labda tujaribu doublechancepo kamanda hiyo ndio socialism
View attachment 601017
Naomba msaada Wadau hivi wanapoandika 1.5goals over unabet sehemu gani maana kwenye M-BET na sportpesa kuna 2.5 over/under
Over 1.5 kampuni nyingi sana ipo...Mfano Meridian, Premier, Mkeka bet, Princess Bet.View attachment 601017
Naomba msaada Wadau hivi wanapoandika 1.5goals over unabet sehemu gani maana kwenye M-BET na sportpesa kuna 2.5 over/under
Jezi gani? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Marwarwa Sport pesa na M bet ni kampuni Mbovu ambazo hazina option zakijanja .hao hawana tofauti na BIKO au Tatu Mzuka. Njoo unyamwezini premier bet, Meridianbet, Princessbet, Mkekabet ufurahie maisha ya betting. Huku wenzako tunabet hadi timu ikiingia uwanjani itavaa jezi gani.
BetWonHertha win or draw odds 3.5
Mwenye namba ya gsb huduma kwa wateja, naomba
0675329903 hiyo hapo kiongozi, mm itabidi niwahame coz wanazingua.
Umeongea mbolea sana ukitaka pesa uwez cheza kwa mbet wala spotpesa,options chache sana hawana hata InplayOver 1.5 kampuni nyingi sana ipo...Mfano Meridian, Premier, Mkeka bet, Princess Bet.
Achana nao hao M-bet,Sports pesa.