the lucky mlokole
Member
- May 14, 2016
- 97
- 58
Mkuu naomba nisaidie namba ya princes bet kila nkiweka ela hazifiki
Hapana bosi sina hiyoMkuu naomba nisaidie namba ya princes bet kila nkiweka ela hazifiki
Huo ndo ukweliUmeongea mbolea sana ukitaka pesa uwez cheza kwa mbet wala spotpesa,options chache sana hawana hata Inplay
0677262222Mkuu naomba nisaidie namba ya princes bet kila nkiweka ela hazifiki
Lipia af scrn shot nibet pia
Lipia af scrn shot nibet pia
Princes wako poa kakaMwenye namba ya gsb huduma kwa wateja, naomba
0677262222Mkuu naomba nisaidie namba ya princes bet kila nkiweka ela hazifiki
Kumbukumbu namba unatakiwa uweke namba yako ya simu yaani wamenipiga kweli pesa, zilikuwa hazifikiMkuu naomba nisaidie namba ya princes bet kila nkiweka ela hazifiki
Ku root simu ndio inakuwaje?Download Lucky patcher, ingia click winning gang chagua option ya 3 then kinakofuata kote piga yes!
NB: tumia winning gang ya free ukishaicrack na hyo lucky patcher unazama kwenye hyo ya free then unaclick kipengele cha premium halafu mchezo unaishia hapo!
Hahahahaa khanji hana utani na watu aisee tupo kutafakari mkuu maan vipigo vimezidi japo kuacha binafsi siwezi anapesa zangu nyingi sana huyu mla pilipili siwez mwachiaNaona kanji kanyamazisha woootekabisaa jaman huyu kanjiii huyuuu mungu anamwona kwa jicho la tatuu
Tembea na hii. SmatSkills: Faida za kuroot simuKu root simu ndio inakuwaje?
Utaibiwa bure mkuu kwa nini asibet yeye akapata mihela au yeye hapendi kupata pesa mingimingi aiseee![]()
Wakuu anaemjua huyo jamaa anashinda shinda sijajua Ka anaongopa au laa anaemjua tafadhali manake kanauza Odds
Utaibiwa bure mkuu kwa nini asibet yeye akapata mihela au yeye hapendi kupata pesa mingimingi aiseee