Naisoma360
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 823
- 493
jana nimejibizana nao sana tena sana, nikaamua niweke mkeka wa buku...nacheki leo eti mkeka upo pending na buku yangu imerudishwa kwa wallet, nikaamua ku-withdraw buku yangu na kuweka kwenye princessbetWale wapenzi wabiko mjiandae na haya mambooView attachment 603331
Hawa waendelee tu na hiyo bikoooWale wapenzi wabiko mjiandae na haya mambooView attachment 603331
Wale wapenzi wabiko mjiandae na haya mambooView attachment 603331
GEO vs WAL
Score: 0 - 1
Min: 49
[emoji460] Goal!! Tom LAWRENCE
Wales
Gg n ov 1.5
Ushacha.....Mkeka unaelekea kuchanika [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
uliwekaje mkuuMkeka unaelekea kuchanika [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
af kweli biko yani kila dakika txt sijui namba wametoa wapiHalafu wajinga hawa wanatuma tuma tu msg zao, sijui namba zetu wametoa wapi?
Jong Ajax vs Jong FC Utrecht
Score: 1 - 0
Min: 4
⚽ Goal!!
Jong Ajax
Gg nnov 1.5
Inplay
Alisema Argentina kamkosesha 3m as if mkeka wote ulishachezwa wakati ana game kibao za leo bado...alituzugaHahaaa mpwaaa ameema kweli kingora chekundu ujakiona kinawaka
Yeah Ipo kwa play store MkuuIna patikana wapi play Store ama?