Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
Nagasaki kaninyima hela ya lunch ! kumbe Double Chance ingemfaa huyu. Sio mbaya, it was a nice try. Ngoja tuzame chimbo sasa kusaka hela ya weekend.
View attachment 603795
SHUKRANI SANA BABA MKUBWA KWA MOYO WAKO WA UPENDO KATIKA JUKWAA HILI!....LET`S GO IN THE 10 DAY KISHA TUONE!.....KAZI ZAKO SI SIMPLE LAKINI ZINA TIJA MNO!!...AHSANTE SANA BABA MKUBWA!
Mkuu.! Huu tuupige Double Chance kwa France
All the best Chief!1.5 - 2.5 Odds rollover - Day 1
View attachment 603762
Initial stake: 10,000
Number of days challenge to be played: 10 days
God bless my journey.
HATA MIMI AMENINJIMA PESA YA SODA MCHANA HUU!....TENA MIMI NILIWAFUATA KIPINDI CHA PILI KWENYE LIVE.....BAADA YA KUCHELEWA KUONA HUU MZIGO ULIOUPACHIKA HUMU KWENYE JUKWAA!....BUT SIO MBAYA.....TUTA-RECOVER NA MECH ZINAZOKUJA!Nagasaki kaninyima hela ya lunch ! kumbe Double Chance ingemfaa huyu. Sio mbaya, it was a nice try. Ngoja tuzame chimbo sasa kusaka hela ya weekend.
View attachment 603795
😀 imekuchanganya na niniBudy, hii sport pesa inanichanganya kidogo naomba msaada
Wakiandika 1/1,wanamaana gni na je wana app,halafu naomba mwenye link yake aitume manake matapeli wengi😀 imekuchanganya na nini
unajichanganya mwenyewe tuBudy, hii sport pesa inanichanganya kidogo naomba msaada
All the best Chief!
Budy, hii sport pesa inanichanganya kidogo naomba msaada
timu ya nyumbani inaongoza kwanzia kipindi cha kwanza na mchezo unaisha ikiwa imeshinda.Wakiandika 1/1,wanamaana gni na je wana app,halafu naomba mwenye link yake aitume manake matapeli wengi
Inshaallah, God bless this journey.. ninaachaje sasa kujiunga na hii safari? We are together Chief!Thanks Chief ... nitakuwa narusha hapa kwa siku zote 10, I hope safari haitaishia katikati, hahahaha !