Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo hiyo
 

Attachments

  • 1422018362411.jpg
    57.2 KB · Views: 125
  • 1422018386513.jpg
    49.5 KB · Views: 105
  • 1422018408622.jpg
    44.4 KB · Views: 100
  • 1422018434951.jpg
    51.5 KB · Views: 96

Hapana mkuu, hata wewe usingeweza kumpaa UAE ukaiacha Japan. Sema tu game imekataa. Nifiche kwa sababu zipi mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Nilikuelewa sana kaka Raimundo maana si mara ya kwanza kutokewa na hili jambo.
Ila jamani kula pesa ya muhindi sio rahisi kama tunavyofikiria. Inabidi kushirikiana na kuumiza vichwa kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Dah hii copy and paste sasa nafumba macho maana nishaliwa mpaka nikaona dhambi
 
Karibu CEO,ule utafiti wako multbet umefikia wapi

ile ishu iko hivi, kama umeweka game 10 ukasema atleast 8 ikaja odds 50 ina maana game 10 zote zikiwin unapata odds 50 lakin zikitoka game 8 ina maana ktk odds 50 watapunguza ods za game ambazo zimeharibika
 
ile ishu iko hivi, kama umeweka game 10 ukasema atleast 8 ikaja odds 50 ina maana game 10 zote zikiwin unapata odds 50 lakin zikitoka game 8 ina maana ktk odds 50 watapunguza ods za game ambazo zimeharibika



basi hiyo yaweza kuwa msaada
 
Mtandao wa meridian ni vipi siupati tangu jana unasumbua sana jamani,,,,

kama kuna apps zongine za kubet tuambiane

maana utajiri unatupita aithee
 

Mkuu hiyo ndio bahati nasibu ambayo sitakaa kuja kuicheza... mara nyingi ni unaumia tu
 
Mkuu NkyaH naomba tips za basketball match za alfajiri ya leo.
Leo nataka nikeshe na bet hizi match.
 
Last edited by a moderator:
Basket kweli ina probability kubwa ya ku win ukicheza kwa Over/Under kulinganisha na Football, bado naendelea kujifunza zaidi
 
Accumulator (1)
Ref: O/11974648
Under (206.5) @ 1.25
-

Toronto Raptors @ Philadelphia 76ers - Alternative Total Points 4
Under (193.5) @ 1.25
-

Indiana Pacers @ Miami Heat - Alternative Total Points 4
Under (206.5) @ 1.25
-

Los Angeles Lakers @ San Antonio Spurs - Alternative Total Points 4
Under (209.5) @ 1.28
-

New Orleans Pelicans @ Minnesota Timberwolves - Alternative Total Points 4
$ 10.00 Accumulator
$ 10.00
Estimated Returns:
$ 25.11
 
Basket kweli ina probability kubwa ya ku win ukicheza kwa Over/Under kulinganisha na Football, bado naendelea kujifunza zaidi

Unabett vipi hizi za basketbal mkuu! Nahitaji kujaribu na huku maana mdosi ananipasua na kunilaza na viatu daily!

Nipe muongozo mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…