mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Leo nimeweka hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, kwa hiyo ulianika famba, ya kutusua umeficha! Nyie jamaa noma
Hizi ndizo nilikuwa nazungumzia, tusipende kucopy paste bila kufanya uchunguzi wetu!
Sasa hivi humu kuna watu kibao ambao mikeka mizuri wanaificha (ya kutusua wanaificha) halafu mafwamba ndiyo wanaweka hapa jukwaani.
Mr. madevu hope umenielewa!
nimerudi kilingeni likizo imeisha ni mwendo wa get rich or die tryin
Karibu CEO,ule utafiti wako multbet umefikia wapi
ile ishu iko hivi, kama umeweka game 10 ukasema atleast 8 ikaja odds 50 ina maana game 10 zote zikiwin unapata odds 50 lakin zikitoka game 8 ina maana ktk odds 50 watapunguza ods za game ambazo zimeharibika
Wakuu naombeni maoni yenu jinsi ya kumchakaza muhindi kwa kutumia first/second half/FT bet (wenzangu na mimi tunaiita ngumu kumeza). Hii fixture naona imepewa point nyingi sana kulingana na megamix na long list.
Wataalam wa betting, mnaionaje hii??
Kuna mbinu gani za kuwa kinara wa hii fixture?
cc Raimundo, Deo Corleone, NkyaH, na wataalam wengineo.
Daaaah man utd washaniua HT/FT
Basket kweli ina probability kubwa ya ku win ukicheza kwa Over/Under kulinganisha na Football, bado naendelea kujifunza zaidi