thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
View attachment 604584Leo nachukua mshahara wa bashite
F 1-2 Renate
bye moneySHUKRANI MKUU...JANA ILIKUWA BAHATI MBAYA!....TWENDE PAMOJA!
Nenda Princess bet wanajitaidi kidogoet n app gan ina odds nzuri na wapo vizur kiujumla kwaajil ya kubetia wadau nisaidien maana soka bet odds zao n ndogo sana
Nenda Princess bet wanajitaidi kidogo
1.5 - 2.5 Odds rollover - Day 1
Baada ya jana kuvurugwa, naanza upya tena.
Initial stake: 5,000/-
Tunaomba mkeka wa leo jamani
vp wana application????Nenda Princess bet wanajitaidi kidogo
Yap inaitwa hivohivovp wana application????
Mbona inamezeka tuView attachment 604611View attachment 604612
Jaribu hii ila match 3 za mwisho zimeishachezwa tayari.!
Ngumu kumeza labda kama itakufaa...! [emoji5][emoji5][emoji5]
Tumepishana na 2+ hizi, daaah !
Niliziona nikaziogopa! Kumbe zingetutoa kabisa! Nilichagua tatu hapo moja ov 1.5 na mbili zingine ov 2.5 na zimenipa matokeo..!
Dhaaaaaaaa aiseeeeTumepishana na 2+ hizi, daaah !