Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona tar ni tar 4??
hapo kuna mikeka miwili huo ni alio mkosakosa muhindi na upo mwingine kwa juu. mimi nimejiwekea tu kama hivj ka buku katafute elfu hamsini😀😀😀😀
IMG_20171008_140915_767.JPG
 
Hongera ila Mimi kuzipata hizo nchi game zilipo Ndo Shida
kama unatumia computer version ingia premierbet kisha bonyeza sehem iliyo amdikwa home kisha shuka shini kabisa karibu na ambako huwa unakuta timu ulizo select kabla ya kusabmit angalia kushoto utakutana na utitiri wa ligi na michezo mbalimbali
IMG_20171008_143142_495.JPG
 
kama unatumia computer version ingia premierbet kisha bonyeza sehem iliyo amdikwa home kisha shuka shini kabisa karibu na ambako huwa unakuta timu ulizo select kabla ya kusabmit angalia kushoto utakutana na utitiri wa ligi na michezo mbalimbaliView attachment 604555
Thanks kiongozi
Ila Sasa kujua Kama BBL ipo nchi gani Shida. Mimi najuaga NBA TU AMNAYO IPO USA
 
Back
Top Bottom