Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wanaitwaje??
mmoja anaitwa fano
mwingine renate

fano yupo nafasi ya mkiani kwenye ligi
renate yupo nafasi ya pili

mechi zao za mwisho ziko kama hivyo
IMG_20171008_100330_090.JPG
 
3bdcccb2ebb4d64e171be6d8cd453fc1.jpg
c655dec786676e241346de81f408418c.jpg


Jana kanji khttp://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/bf74c226ecdef889ac0515a1f5f4da56.jpg[/IMG

Jana kanji kasepa na mtaji mwenye Buku ajaribu hiyo zari asisahau kunipa hela ya supu.
 
Mwenye buku mbili aweke hapo asisahau kula supu kupoza machungu ya siku nyingi
 
mwenye ujuzi anichambulie hizi timu kitaalamu.yupi ana high prob ya kuibuka mshindi.

Swansea v Huddersfield 12


Burnley v West Ham
1
Caen v Angers
1

Atletico Madrid v Barcelona
X2

Roma v Napoli
2

Brighton v Everton
2
Sampdoria v Atalanta
X2
Girona v Villarreal
2+

Montpellier v Nice
2
Werder Bremen v Borussia Monchengladbach
X2

Malaga v Leganes
12

Betis v Valencia
12

Inter v AC Milan
1X
😳
kazi kwako
 
jaman anayefahamu matokeo ya easyknit property vs shatin hong Kong aniambie maana nimetafuta mpk bas.
 
Bhayangkara Surabaya vs Persiba Balikpapan
Score: 1 - 0
Min: 18
⚽ Goal!!
Bhayangkara Surabaya United


*INPLAY TEST
Gg n ov 1.5/2.5
 
Nenda google angalia kwanza zipo
Nilishawahi betia timu zikatiki nane yatisa nilimeachia Mungu mpk Leo ilitokea wwapi
jaman anayefahamu matokeo ya easyknit property vs shatin hong Kong aniambie maana nimetafuta mpk bas.
 
Back
Top Bottom