Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20171008-070930.png
Screenshot_20171008-070920.png
Screenshot_20171008-070940.png
 
Wazee salama hapa?

Mungu ni wetu sote na daima hana upendeleo


Salama Chief, umepotea sna kamanda. Naona umepita kutusabahi. Sisi bado hatujapata dawa ya uhakika ya kushindana na huyu mAsia. Tupe mawazo mapya mkuu !
 
Poland Denmark nataka niwape laki moja!! ushauri wa haraka
Buddy
@pdid
@koncho
nyegere86
na wengine wote

Chief kwa kuwa wapo nyumbani wote, na ukiangalia kundi lao bado lina ushindani kdg, unaweza ukawaaminia. Ila nahisi DC ni nzr zaidi.
 
Salama Chief, umepotea sna kamanda. Naona umepita kutusabahi. Sisi bado hatujapata dawa ya uhakika ya kushindana na huyu mAsia. Tupe mawazo mapya mkuu !
Mkuu dawa ya Kanjibah ilishindikana aise, nilijaribu magoli nikapigwa, Nikaja na single bet akaninyanyasa, nikaenda HT akanirarua kwa sasa nipo likizo ndefu
 
Back
Top Bottom