Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Tunalipa kodi mkuu.
Serikali ukiipa kodi basi umemaliza
Serikali ukiipa kodi basi umemaliza
Betclannaomba jina la apo hio hapo juu inayotoa prediction za windrawwin na over/under
anhaa poaMkuu mwambie na wanalipa kodi kabisa tena mabilion ya tshs
Ila mkanye mwambie kamari au michezo ya kubahatisha hairuhusiwi katika dini ni dhambi
kwa kiarabu tunasema haram mutlak na nimiongoni mwa madhambi makubwa
Mkumbushe tu akikaza achana nae ila wewe ushafikisha ukumbusho
acha betclan hio ya juu yake. samahani kwa usumbufu lakiniBetclan
AminaUsikumwema woote
Habari watu wa Mungu ninakila sababu yakumshukuru Mungu wetu kwakutulinda mchana kutwa hadi usiku huu, ametuepusha nakila baya kutoka kwa yule muovu katika jina la Yesu, hakika wema na fadhiri zake viendelee juu ya maisha yetu kutulinda na kutukinga dhidi ya maadui zetu, na kila silaha itakayofanyika juu yetu isifanikiwe kwa jina la Yesu kristo. Amen
Mi kuna katimu kameninyima pesa ya mtaji [emoji23][emoji23][emoji23] kanaitwa wilsallNetherlands anazingua sana aisee
BET LOST....! FRANCE [emoji15][emoji15][emoji15]Mwendo wa 2+ na Double Chance tu
Nakesho mwogope england na 3+ upishane na helaDuuu! leo tena ....nilimpa France ashinde na 2+......kashindwa kuongeza bao kwani kwa kuwa sweden amemshindilia mtu mabao ya kutosha...nilijua na yeye ni lazima apate mabao mengi ili gepu lisiwe kubwa....Duu! matokeo yakeView attachment 604216 ....amenilaza na njaa leo!
Pole mkuu, me pia France amenifanya mbaya. Kushindwa 2+ yaani hatari [emoji16][emoji16]Duuu! leo tena ....nilimpa France ashinde na 2+......kashindwa kuongeza bao kwani kwa kuwa sweden amemshindilia mtu mabao ya kutosha...nilijua na yeye ni lazima apate mabao mengi ili gepu lisiwe kubwa....Duu! matokeo yakeView attachment 604216 ....amenilaza na njaa leo!
mwenye ujuzi anichambulie hizi timu kitaalamu.yupi ana high prob ya kuibuka mshindi.Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Pole sana mkuu, mimi jana France aliniharibia sherehe kwa kushindwa kutoa just 2+ with odds 1.18 [emoji4][emoji4][emoji4]. Yaani siku ukisema ucheze magoli wanashinda kwa kagoli kamoja tu "facken shwaeeen" kabisa hawaYani Notts County, ... mxiuuuuuuuuuuuu, nlikuwa nimeshaanza kuipangia matumiz hii hela. Hahahahaha
View attachment 604265
Daah..pole mkuuYani Notts County, ... mxiuuuuuuuuuuuu, nlikuwa nimeshaanza kuipangia matumiz hii hela. Hahahahaha
View attachment 604265