Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
Niliziona nikaziogopa! Kumbe zingetutoa kabisa! Nilichagua tatu hapo moja ov 1.5 na mbili zingine ov 2.5 na zimenipa matokeo..!
Dhaaaaaaaa aiseeee
Af umechaniwa mkeka
Hapo mkuu
Wacha tujilipueView attachment 604611View attachment 604612
Jaribu hii ila match 3 za mwisho zimeishachezwa tayari.!
Ngumu kumeza labda kama itakufaa...! [emoji5][emoji5][emoji5]
Kweli chiefKaproject kamegoma Chief ... nitajipanga tena Ligi za maana zikirudi.
Tunaomba mkeka wa leo jamani
Bora kusubiria ligi mkuu, yaani mimi nimeraruliwa capital yangu yote kushney nimebaki nimenuna tu. Kanji huyu sema hamna namna acha nitafute extra - money nikipata nitarudi kwenye business as usual. No retreat No surrender hahaaaa!Kaprojekt kamegoma kbs ku-kick start ... ngoja nisubiri ligi zianze nianze tena.
Ila wenyewe washafuzu ujue..England leo msijeniweka na presure kama juzi, mlisubiri mpaka daika ya 9. I hope leo mapema tu mnanifanyia mambo
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna betting yenye nafuu nimejaribu kikapu nimekula za uso unaweka over wenyewe wanatoa under dadeki zao sasa bora nibetie farasi na mbwa wasiojielewa maana watu na akili zao una waamini wanakutia hasara...ndani moshi nje moto
Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu pale kwenye promo code ya meridian unapojiregister tunajaza nini?
Wacha tujilipue
Tutajipa matumain mpaka linHawa U17 wamechana mkeka.
Kesho nayo siku [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]