Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

BET WON kwa waliofata jana
 
Germany - Azerbaijan
Over 4.5 goals
Odds: 2.06 x 7000/=
 
Slovenia - Scotland - Both teams score NO 1.70

Egypt - Congo - Egypty win 1.30
Slovenia - scotland ...GG imeshatoka ....tunamsubiri Egypty......Lazima ashinde kwani mpira wameupeleka kule Alkzadria...huwa hatokaki mtu huko!
 
Granada CF - CD Lugo
Under 1.5 goals HT
1.32

AS Livorno - AC Arezzo
Under 1.5 goals HT
1.31

Novara Calcio - Frosinone Calcio
Over 1.5 goals
1.38

Odds 2.39
 
Jamani hivi tumelogwa....san malrino huyo hapo chini....kwenye roho ya kumfuata ...hivi ukiweka 1,000 tu hapo! sh. ngapi unapata!!!....jamani mpira unadunda!!!??? ohhoooo!!!.....jamani jamani pesa hiyo!!!!!...yaani kama hamuoni vile!
 
Granada CF - CD Lugo
Under 1.5 goals
1.32

AS Livorno - AC Arezzo
Under 1.5 goals
1.31

Novara Calcio - Frosinone Calcio
Over 1.5 goals
1.38

Odds 2.39
Cna mtaj hapa tungesafir
Wote mkuu
 
jamani hivi huyu england vipi!.....hivi kweli kuna dalili ya 2+ hapo.....ebu tujuzeni mnaongalia live...vipi watapata bao kweli!!!!????...maana dalili naziona za kuchana mkeka wangu!!
 

Attachments

  • upload_2017-10-8_20-27-44.png
    4.3 KB · Views: 29
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…