Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka wa mwisho amebaki Egypt - direct win na Froscinone - Double Chance (X2). Ngoja niwasuburi.


Egypt anachomolewa dk ya 88, daaah ! ushachanika huu nao. Kaazi kwl kwl ...
 
Daaah never say never, penalty ya dk ya 90+5 ... Mohamed Salah anatia kambani. Namsuiri huyu muItaliano sasa niapate walau kifuta jasho.


Nimeponea chupu chupu kwa Egypt kumbe kuna mzimu mwingine ulikuwa unanisubiri, hii kazi ni ngumu sn. Frosinone amenitakia usiku mwema, ngoja nilale tu sasa hakuna namna.
 
Nimeponea chupu chupu kwa Egypt kumbe kuna mzimu mwingine ulikuwa unanisubiri, hii kazi ni ngumu sn. Frosinone amenitakia usiku mwema, ngoja nilale tu sasa hakuna namna.
Dhaaaaaaaa co utan hii kaz
N ngumu kuliko zote
 
Back
Top Bottom