Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii kazi hakuna tofauti na wana appolo wanaochimba madini kwenye migodi ya Tanzanite. Wale jamaa wanaweza wakakaa miaka hata 20 wanachimba tu ila wana imani ipo siku watapiga pesa ndefuu.
Kweli kabisa,hii shughuli ngumu sana..
 
jana ikawa kama juzi timu moja tena ikaharibu mambo denmark .ngoja leo tutege tege tena mitego
1507528650181.jpg
 
Hii kampuni ukikosa team moja huwa wanakurudishia stake yako ila kwa kuidouble mfano kma ulivyoweka 4500 wakazidisha mara mbili ndo maan imekuja elf 9000 ila hili hufanyika kuanzia mkeka wenye odd au point kma sijakosea kuanzia 20 au 25 kuendele kati ya hizo mbili hapo maan nimesahau kidgo
Sijakuelewa ndugu, ukikosa timu moja wanarudisha pesa ?
 
Jamani naombeni mawasiliano ya m bet,nimechoka kuibiwa
 
Back
Top Bottom