mimi nimiechart nao live kupitia website yao...mkuu namba zao za simu wezi hao nimedeposit tangu ijmaa hd leo pesa hakuna
0677262222Msaada ya namba ya huduma kwa wateja ya princessbet please wakuu
vp mkuu.. ushamalizana na hao GSB?
Turkey na Finland??Wales, ukreni, trukey, spain,itary,serbia, masedonia, wote double chance jaman stake 50000 hapo vip jaman
Asante chief Kimbakuli0677262222
Wanatumia voda na tigoNamna ya kudeposit pesa kwenye gsb ndio hii ya kutuma kwenye namba ya airtel