Weniharbia Sheree wakiwa najamani hivi huyu england vipi!.....hivi kweli kuna dalili ya 2+ hapo.....ebu tujuzeni mnaongalia live...vipi watapata bao kweli!!!!????...maana dalili naziona za kuchana mkeka wangu!!
View attachment 604912
Hizo Under ni first Half ResultsGranada CF - CD Lugo
Under 1.5 goals HT
1.32
AS Livorno - AC Arezzo
Under 1.5 goals HT
1.31
Novara Calcio - Frosinone Calcio
Over 1.5 goals
1.38
Odds 2.39
Aastakaflah bet Lost national
N za ******* sana
Acha kabsa mkuu hata cjui nlilogwa naPole Chief ...yan mtui unahangaika kuzitafuta 2+ wakati zilikuwa Italy Serie B, duuuh !
Kichwa kinawaka motoDenmark ndio nn kufanya niliwe
Over 2.5 n 3+Hivi over 2.5 ndio 2+?
Doh ***** Denmark ameshaharibu mikeka yangu niliweka over 2.5Over 2.5 n 3+
Over 1.5 n 2+
Kashakulaza njaaDoh ***** Denmark ameshaharibu mikeka yangu niliweka over 2.5
Unaleta baada ya kulaEgypt, England, Denmark na Poland. Wote nimewapa "first team to score". Bet WON