Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Mkuu Vitual unachezaje kaka hebu nipe maujanjaHuku nikipigwa sana nakimbilia virtual.
Siwezi kupaacha maana hata mtaji niliupatia
Mkuu hii basketball ni ligi gani?pia umetumia kampuni ganiBET WON
euro cupMkuu hii basketball ni ligi gani?pia umetumia kampuni gani
Kwa hapo huwezi kuziona angalizia kwenye Bet Hsitory ya Virtual Games utaziona kama ume Win au lose
Wadau kuna yeyote ambae amewahi kibeti virtual ya princess bet maana nimebeti leo halafu tiketi ndo inaonekana hivyo [emoji115]
Naziangalizia wapi mkuu bet history za virtual? maana hapa nimeenda kwenye bet history ya acc ndo nimekuta hivyoKwa hapo huwezi kuziona angalizia kwenye Bet Hsitory ya Virtual Games utaziona kama ume Win au lose
Mkuu nisaidie nishajisajili na niana aacount ya gsb sasa nashindwa kuelewa namna ya kuweka pesa kwenye account yang...nimewachoka mbet na sportpesa
mkeka ndio bora achana na gsbMkuu nisaidie nishajisajili na niana aacount ya gsb sasa nashindwa kuelewa namna ya kuweka pesa kwenye account yang...nimewachoka mbet na sportpesa
Poa mkuu,,,,nimewataman gsb....sabab nishajisajili gsb nataman nijaribu kwanzamkeka ndio bora achana na gsb
embu acha utani mkuu...au wewe mgeni nini kwenye hizi kazi!!!options zilizopo mbona zinakutosheleza sana kushinda labda wenge lako tu mwenyewe.
embu acha utani mkuu...au wewe mgeni nini kwenye hizi kazi!!!
Ime ni bidi nicheke tuu kwa kweliimkeka ndio bora achana na gsb
embu acha utani mkuu...au wewe mgeni nini kwenye hizi kazi!!!
Login, then fuata hizo hatuaMkuu nisaidie nishajisajili na niana aacount ya gsb sasa nashindwa kuelewa namna ya kuweka pesa kwenye account yang...nimewachoka mbet na sportpesa
Mkuu Z.Z ali fafanua vizuri tuu pitia hii Post yake
Mkuu nisaidie nishajisajili na niana aacount ya gsb sasa nashindwa kuelewa namna ya kuweka pesa kwenye account yang...nimewachoka mbet na sportpesa
Mkuu nishafikia hatua hiyo nimeweka buku sasa wamenitumia namba fulani kwa sms ya kawaida hapo ndio sijui namba ya kampuni wala kumbukumbu namba ya kulipaLogin, then fuata hizo hatua