Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

afu unakuta kuna wehu wanasema kuwa betting ni easy money.......
ukiweka over timu hazifungani....
ukiweka under watu wanapigana kwa hasira dakika 10 magoli 4....
yaani hii ni kazi ngumu kuliko kazi inayofanywa na palamaganda na barrick ....
hapa watu wanatumia akili kufikiri ili wasiliwe afu wajinga wachache wanasema kuwa ni hela nyepesi......

namheshimu sana mtu ambaye anashinda hata kama ni 500

hebu fikiria mtu unaiamini timu kubwa kama real afu inafungwa na katimu kadogo.... ukiacha kufungwa tu hata kutoa over 1.5 inashindwa toa afu jitu linasema ni hela nyepesi.... kama ingekuwa nyepesi kila mtu angewekeza huko.......

hakuna kazi ngumu kama betting maana unatumia akili kuzisoma timu...timu zenyewe nazo zinabet....

kama mechi ya juzi ya chelsea mtu eti mechi kubwa hata magoli 2 yakakosekana...

sitasahau mechi ya chelsea na swansea, nikampa chelsea 4.9mil tsh enzi hizo hakuna kukatwa kodi.....
chelsea alikua nyumbani ila akadunguliwa na swansea iliniuma sana siku hiyo sitakuja isahau maana ndio siku nilipoteza hela nyingi kwenye mechi 1.....

kwenye msimu huu wa vyuma kukaza hakika betting itapata pesa za wengi mno maana wale wa 1000 ni wengi sana wanaliwa



TUSIKATE TAMAA
kwa mara ya kwanza namshuhudia mzee mzima Root akiandika maelezo marefu kidogo[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
1507623549958.jpg
wazee wenzangu naona tangu jumamosi nimekuwa mtu wa kukosa timu moja moja mnaosaka odds jaribuni kuchambua team ntazokuwa nashare nanyi
 
WALIOJARIBU MZIGO WA JANA
[HASHTAG]#tmwinners[/HASHTAG] MREJESHO HUOO

INTL
Israel Vs Spain
Tip: 2✅

INTL
Iceland Vs Kosovo
Tip: 1 (HT)✅

INTL
Albania Vs Italy
Tip: 2 DNB✅

INTL
Finland Vs Turkey
Tip: OVER 0.5✅

INTL
Wales Vs Ireland
Tip: over 0.5✅
*bet won*✅✅

SINGLE
League: ITALY: Serie C
Match: Triestina - Fermana
Tip: 1 / 1
Odd: 5.00✅✅
*betwon*✅✅
 
Waliofwata [HASHTAG]#tmwinners[/HASHTAG]

INTL
Croatia U21
VS Czech U21
Tip: BTTS ✅✅

INTL
Luxembourg U21 VS France U21
Tip: Over 2.5 ✅✅

WC
Serbia VS Georgia
Tip: 1 ✅✅

INTL
India U17
VS Colombia U17
Tip: Over 2.5✅✅
*bet won*✅✅
 
[HASHTAG]#tmwinners[/HASHTAG] KWENYE MAGOLI ÀKUWA NYUMA WALIOJARIBU HII

MACEDONIA vs LIECHTENSTEIN
Tip: 4-0✅✅
*bet won*✅
 
Advice ni utoto??
Grow up
Hakuna fixed matches zinazouzwa kama njugu mitandaon

Unaleta screenshot ya tar 7 Unaulizia leo? Unaweka email kama utambulisho, kuna kampun ama mtu ama websites inayojitambulisha kwa email??? kwamba ni mtego watu waingie mmepige pesa sio???


Hakuna mjinga kias hapa dunian, ndio maana nikakwambia n utoto huo, ulipo amkia leo tulisha amkia hapo majuzi

watu wenyewe unao watamka hapo sio ajabu ikawa n wewe mwenyewe, fambafu
 
AUS vs SYR
Score: 1 - 1
Min: 13
⚽ Goal!! Cahill
Australia


Twendesawa subiria OV 2.5
 
Back
Top Bottom