Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wa kazi kuna kitabu cha Donald Trump na Kiyosaki ninakisoma, ningependa kuwashauri na ninyi pia mpate muda wa kukisoma, kinaitwa "Why we want you to be rich".

Jamaa wanatema madini sana yanayoweza kutusaidia kwenye hii business, mfano, kuna extract hapa chini nawawekea:-


Most of us have heard about the Three Ds:
1. Desire
2. Drive
3. Discipline
We all know people who have desire - for example a desire be rich, but they lack either the drive or the discipline or both.

NOTE: Hapo nadhani sisi kinachotuumiza ni displine.

Most of us have heard about the Triple As:
1. Ambition
2. Ability
3. Attitude
We all know people who have ambition, they never develop their abilities - often because they have a bad attitude.

NOTE: Hapa nadhani vyote vinatuangusha tulio wengi.

Kitabu kina vitu vingi ambavyo tukideal navyo kiusahihi tunaweza kuwa kwenye kundi la wanufaika wa huu mchezo.
 
BET WON !

Mkuu hukufanya makosa kuwafuata na odds zao za kibabe hivyo hivyo, mi nliwaogopa nikajua labda kuna namna. Big UP Chief ...bora NBA wamepunguza machungu ya Wales.
[emoji12] [emoji12]
Acha tu mkuu ila Dallas kanifanya nibinye mbupu sana duh
 
20b36755d54ac19ae901245594548f76.jpg
 
Back
Top Bottom