Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kipenga cha kwenda Russia
Kimeshalia jmn macho kodo
livescore Kwa sasa wanaume wote
Walio uwanjan nmewatuma
Kas Sasa cjui Kama wataweza
 
Hapa naangalia wa spain, israel wamelinda kipindi kizima, nahisi wanachotafuta ni droo tu. Tusubiri kipindi cha pili huenda magoli yakapatikana
 
afu unakuta kuna wehu wanasema kuwa betting ni easy money.......
ukiweka over timu hazifungani....
ukiweka under watu wanapigana kwa hasira dakika 10 magoli 4....
yaani hii ni kazi ngumu kuliko kazi inayofanywa na palamaganda na barrick ....
hapa watu wanatumia akili kufikiri ili wasiliwe afu wajinga wachache wanasema kuwa ni hela nyepesi......

namheshimu sana mtu ambaye anashinda hata kama ni 500

hebu fikiria mtu unaiamini timu kubwa kama real afu inafungwa na katimu kadogo.... ukiacha kufungwa tu hata kutoa over 1.5 inashindwa toa afu jitu linasema ni hela nyepesi.... kama ingekuwa nyepesi kila mtu angewekeza huko.......

hakuna kazi ngumu kama betting maana unatumia akili kuzisoma timu...timu zenyewe nazo zinabet....

kama mechi ya juzi ya chelsea mtu eti mechi kubwa hata magoli 2 yakakosekana...

sitasahau mechi ya chelsea na swansea, nikampa chelsea 4.9mil tsh enzi hizo hakuna kukatwa kodi.....
chelsea alikua nyumbani ila akadunguliwa na swansea iliniuma sana siku hiyo sitakuja isahau maana ndio siku nilipoteza hela nyingi kwenye mechi 1.....

kwenye msimu huu wa vyuma kukaza hakika betting itapata pesa za wengi mno maana wale wa 1000 ni wengi sana wanaliwa



TUSIKATE TAMAA
 
Boston Celtics -
Philadelphia 76ers
Home
1.32

Miami Heat - Charlotte
Hornets
Home
1.57

Multiple Odd 2.07
 
Dallas Mavericks -
Orlando Magic
Home
1.57

Atlanta Hawks -
Memphis Grizzlies
Home
2.16

Multiple Odd 3.39
 
Hawa GAL sport bettin unachagua team hasa za basket ukitaka kuplace bet inaleta ujumbe huo, ni shidaa
 

Attachments

  • Screenshot_20171009-230912.png
    Screenshot_20171009-230912.png
    20.3 KB · Views: 41
Hawa GAL sport bettin unachagua team hasa za basket ukitaka kuplace bet inaleta ujumbe huo, ni shidaa


Nafikiri hawa jamaa hawaruhusu kuchanganya basketball & football ... na mm nliwahi kuchanganya ikagoma ila nlipotoa game ya basketball ikakubali. Sina hakika lkn.
 
Back
Top Bottom