Deje
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 991
- 1,006
Unaweza ukachanganya ila zenye shida ni za basket, hapo niliweka basket pekeyake zimegoma, hata sasa nkijarib kucheza za NBA pekeyake bado zinagomaNafikiri hawa jamaa hawaruhusu kuchanganya basketball & football ... na mm nliwahi kuchanganya ikagoma ila nlipotoa game ya basketball ikakubali. Sina hakika lkn.