Napiga game kimya kimya lakini nimeona sio vizuri kula peke yangu
Leo natoka hivi
Kaka hao Athetico na Barca mbona nahisi wanadraw leo.
Nisaidieni pale meridian bet wanapoweka Total goals mbona wanaweka mara nne halafu sielewi ya kwanza ni magoli mangapi na ya pila mangapi msaada jamani niweke mkeka
Leo natoka hivi
Mkuu nahitaji fixture za leo za premier bingo
Rockcity native rahim_baharia Raimundo mtoto_wa nzi xyz123
Nimebadili ID toka Andybird314 kwenda Root
ok nimekupata. Vp umepigwa ban?