Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapana mkuu sijapigwa BAN. Nimemtumia invisible anibadilishie.
Kuna mtu anapita sana hapa na anatafuta sana ID yangu so nikaamua nibadili.

Labda pia yaweza kuwa bahati nzuri maana leo nimewapa hawa

Ivory coast
Mali
Gateshead
Porto
Rio ave

mi kama kawa nimeweka option ya 2nd half 2+ game 2 za afrika jumla odds ni 7
 
msaada wadau upande wa M-BET. enter reference number, hapo inatakiwa niingize namba ipi?
 
Wazee wenzangu Meridian wanabadili sheria mara kwa mara, jaribuni kuwa mnazipitia!

Mfano, Basketball Over na Under au winner inajumlisha hadi overtime tofauti na kipindi cha nyuma.
 
ulipotea sana ulikua chimbo?

NIlikua chimbo mkuu, ila nimerudi kwa kasin ya ajabu.

Mwenye kuchambua tips nazotoa akapiga hela kazi kwake. Niliyotoa ndo kama ifuatavyo.

NTERNATIONAL Club Friendly Games
(FC Nitra -:- FC Fastav Zlin)
Tip:-(1st Half Under1.5)
Odd:1.70WON
Tip:-(Under2.5)
Odd:2.50WON
Tip:-(Under3.5)
Odd:1.60WON
 
Game imeanza saa 2 na nusu ila mwenye kuiwahi kwenye inplay kazi kwake

Pia ni International Friendly
(SV Babelsberg -:- Flota Swinoujscie)
Tip:-(Under2.5)
Odd:2.50
Tip:-(Under3.5)
Odd:1.60
 
NkyaH wanao GSW wamekalishwa leo kwao!

Leo sikupata kuangalia hizo game.. majukumu yalikua mengi kidogo. Wamekalishwa kwa shida lakini, tofauti ya point 2 tu. Anyway after a long run with only wins sio mbaya wakionja kupoteza.
 
Free tip
For your own risk

Costa rica primera division

Perez Zeledon vs Cartagines

Ht/ft: 1/x odd 15

Or
Ft: x odd 3.45
 
Wazee wenzangu hivi bahat nasibu ya kesho kati ya guinea na mali nayo tunabetia?
 
BESKITAS
SEVILA
VILAREAL
URUGUAY U20
BRAZIL U20
ARGENTINA U20

za leo izo toa ambayo uiamini afu uweke ela yako ya chakula cha mchana na usiku
 
BESKITAS
SEVILA
VILAREAL
URUGUAY U20
BRAZIL U20
ARGENTINA U20

za leo izo toa ambayo uiamini afu uweke ela yako ya chakula cha mchana na usiku

Hapo kwa Brazil angalia usije kuingia cha kike... naamini Paraguay anachana mkeka huo.
 
msaada wakuu nataka kubadirisha namba ya simu kwenye account yangu ya meridian nifanye je?
 
Back
Top Bottom