Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaotaka kucheza basket fuata maelezo ayo
Wazee wenzangu, muwe
mnacheza Basketball Live in
play, ukiwa mjanja ukosi
50,000 kwa siku.
Fanya hivi.......usiweke
mkeka mpaka mechi ifike
quarter ya pili 2/4 then
chukua matokeo ya timu
zote mbili jumlisha na kisha
toa the amount of total then
dived by 2 utajua uweke
kwenye over/under....
Mfano
currently points is Over 160
and its 2/4( second quarter)
Real Madrid..... 45
Barcelona........ 40
therefore the total points is
85 (45+40)
then chukua 160-85= 75
75 means the total points
zilizobaki kufika 160, then
chukua 75 gawa kwa 2
(75/2)=37.5 hii inamaana
kama vipindi viwili vya
mwanzo waliweza kufungana
points 45 kwa 40 basi its
possible vipindi viwili vya
mwisho pia wanaweza
fungana zaidi ya 37.5 points,
ivyo weka Over 160 odd sio
chini ya 1.80
mkuu sasa tunaweka wakati 2/4 inapoanza au 3/4 inapoanza?
3/4 inapoanza mkuu
Umepokea pesa kutoka kwa M -BET, Kiasi Tsh 123,499, Ada 0. Salio lako jipya ni 228,369. Kumbukumbu no. CI150130.1141.D02701.
umeonaa eeenh...... hiyo ni set ya halftym baba.....vilareal...sevila..athletic...bristol....panathanaikos na aek athens.... wote wameenda sare halftym...... usikurupuke tu.....
na kila 1/4 inachukua muda gani pia NCAA iko vipi maana imeshanipa hasara
na kila 1/4 inachukua muda gani pia NCAA iko vipi maana imeshanipa hasara
Mtoto wa nzi, Rockcity native, Root, NkyaH na wadau wengine wa basket, kuna sheria imebadilishwa ya kuijumlisha hadi overtime kwenye total pts (under/over), winner, odd/even etc.
Hii imenicost sio kidogo! Nacheza under zikiwa zimebaki dakika chache game iishe, half wakitoa draw kimenuka, maana point za overtime zitajumlishwa kwenye zile za regular time.
Na hii nimeiangalia kwa bookmakers kama 5 hivi; inaonekana ni universal. Kwa sasa kucheza under ni hatari sana.
Nimes vs nancy
Double result. HT/FT : NIMES/DRAW
odd 15 (williamhill)
Weka hata laki
hivi naweza weka ht/ft na gg kwa pamoja?
Hapana mkuu sijawahi ona hiyo option
OK ngoja nimpe elfu 50 kwa gg .
LAZIMA nimpige mhind hapa.