Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu minimetabiri mechi za Jana kati ya s'ton na Swansea na Ghana na guinea nimekosea iyo moja tuu ya EPL vipi hii inakuaje nimeshinda au sijashinda?pia sija bet online nimetumia *149*19# ya voda.

Hujashinda,jaribu tena siku nyingine
 
maccabi tel aviv
spezia na apol nicosia kwa 15000 unakula kama 65000
 
Jamani Mimi nimechoka kupigwa na huyu muindi. Nataka nibadili upepo. Huwa nafanya betting kupitia primeir bet. Nataka kubet half time/fulltime wengine mnaita ngumu kumeza. Naomba kama hamtajali mniwekee kanuni zake hapa. Zinachanganya kidogo.http:www.premier-betting.co.tz/index.php
 

wewe noma....hata mimi juzi kati ulivyokula..nikakuiga nami nimempiga laki na elfu ishirini...asante sana
 
Mi Nauliza kwa mfano unatumia ladblokes yaani umefungua account

Then kila ukiwin huchukui,

je kuna mwisho wa kiwango cha kuchukua? yaani kuna amount flani ikifika lazima uachukue mzigo wako

au hata ukifiksha dola millio moja poa tu?

asante
 
Namba ya kumbukukumbu iweje iwe ni jina langu tena tena??



Adam nisikilize mimi.

Namba uliyosajilia ndo utumie kudeposit jela

Kwenye no ya kumbu kumbu,andika jina lako like ulosajiri meridian.


Fanya hivyo uone kama haijakubali.!!
 


Sijui kama kuna mwenye akaunti ya Ladbrokes.

Angalia kwenye terms n conditions sehemu ya deposit/withdraw
 
Namba ya kumbukukumbu iweje iwe ni jina langu tena tena??

Nenda kwenye email waliyokutumia utaona ID namba n yako weka kwenye namba ya kumbukumbu pesa inaingia ndani ya dk 5 tu kwa jina itachukua hadi saa nzima
 
Nenda kwenye email waliyokutumia utaona ID namba n yako weka kwenye namba ya kumbukumbu pesa inaingia ndani ya dk 5 tu kwa jina itachukua hadi saa nzima



Mimi natumia jina, ingawa hiyo no ninayo.


Nimedrwaw hela Jana na nyingine asubuhi but bado
 
Adam nisikilize mimi.

Namba uliyosajilia ndo utumie kudeposit jela

Kwenye no ya kumbu kumbu,andika jina lako like ulosajiri meridian.


Fanya hivyo uone kama haijakubali.!!

Jaman hapo ndio pananishinda nkifikia tu hatua ya kuweka namba ya kumbukumbku ninapoweka jina langu nlosajilia kule ambalo ni ADAM GELLA linakaataa kuandikika pale kinachotakiwa ni TARAKIMU mfano 1234 NA SIO MAANDISHI namaanisha herufi mfano A,B,C sjui kama nimeeleweka apo naombeni msaada wenu!!
 


Mimi huwa naandija hivyo.

Mdau juu hapo kasema tumia I'd number ambazo ukifungua email unazikuta zipo4.


Ukishindwa hapo check contact zao zipo kwenye web/app hao sehemu ya contact us
 
Mimi natumia jina, ingawa hiyo no ninayo.


Nimedrwaw hela Jana na nyingine asubuhi but bado

Mi sijakataa kutumia jina hata m mwanzoni nilitumia jina hasa wakati wa kuweka na hela ikawa inachukua mda kuonekana but nilipo anza kutumia namba fasta hela inaonekana kwenye account ya meridian
 
Wadau meridian huwa wanaweka namba ya ID ambayo uko kama kampun namba na ukiweka kwa mpesa inatumia Masaa matatu unakuwa umeiona kwenye akaunt yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…