Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo vp wadau abu chk hii
Byn win
Man u win
Gent win
Roma win

Roma cmuamini sanaaaa
 
Samahan mm nilikua napenda unielekeza jinsi ya kucheza handcap maana hua inanisumbua sana. Asante
 
Samahan mm nilikua napenda unielekeza jinsi ya kucheza handcap maana hua inanisumbua sana. Asante

Katika mchezo wa handicap, kunakuwa na mechi ambayo ina timu 2 . Timu moja hupewa goli la kufikirika(hasa hasa ile iliyodhaifu) , hivyo basi u achotakiwa kufanya wewe ni kuchagua Odd ya Suluhu huku ukiwa na uhakika ya kwamba ile timu isiyo na goli huenda ikashinda kwa tofauti isiyozidi goli 1.Yaani 2-1 au 1-0 au hata 3-2.
 
Binafsi hata mimi handcap sijaielewa inavyochezwa.

Katika mchezo wa handicap, kunakuwa na mechi ambayo ina timu 2 . Timu moja hupewa goli la kufikirika(hasa hasa ile iliyodhaifu) , hivyo basi u achotakiwa kufanya wewe ni kuchagua Odd ya Suluhu huku ukiwa na uhakika ya kwamba ile timu isiyo na goli huenda ikashinda kwa tofauti isiyozidi goli 1.Yaani 2-1 au 1-0 au hata 3-2.
 
Fanya ufafanuzi wa halftime/fulltime, kwenye betting. Mfano unakuta 1/1, ×/1, 1/2, ×/2, 2/2 kwa kweli sielewi sana. Hapa ueleze ushindi kinamba mfano tena,

1- mwenyeji anaongoza mwanzo mwisho
2-
3-
4-
 
kwanini msiende kwenye ule uzi wetu maarufu wa wale wa betting

Kule ni kwa ajili ya kushauriana na kuchangia mawazo, katika mechi mbali mbali ambazo zipo katika orodha ya betting kwa siku husika.
Hivyo isingewezekana kwangu mimi kwenda mule na kuanzisha uzi mrefu kama huu, tena wenye malengo tofauti na ulekule.
Unakaribishwa katika uzi zote zinazozungumzia masuala ya betting.
 
Weka vitu watu tukuelewe. Mfano wa mechi iliyopita kati ya Manchester united na Leicester city, city walipewa +1 game ikaisha kwa 3-1. Hapa handicap imekubali? Navyofahamu Mimi handicap lazima umzidi mwenzako kwa goli 2.

Ufafanuzi tafadhali
 
Leo vp wadau abu chk hii
Byn win
Man u win
Gent win
Roma win

Roma cmuamini sanaaaa

Kuna huu mkeka unaweza kuutathmini...
Sunderland
Man U
Sheff Utd
M'gladba
Wolfsburg
Psv
Genk
Almere
Club Brugge
Fenebahce
QPR
 
Nilicho gundua Mimi wale wabetishaji hawaelewi vzr mfumo wa zile fixtures, mfano mtu unabeti fixture ya half time & full time yani umempa mmoja aongoze dk 45 za kwanza then kisha mpinzani wake asawazishe kipindi cha pili unamwambia mbetishaji anakuwekea ya full time yan mwanzo mwisho iongoze team moja
 
Weka vitu watu tukuelewe. Mfano wa mechi iliyopita kati ya Manchester united na Leicester city, city walipewa +1 game ikaisha kwa 3-1. Hapa handicap imekubali? Navyofahamu Mimi handicap lazima umzidi mwenzako kwa goli 2.

Ufafanuzi tafadhali

Si kazi kubwa kabisa kubet kwenye hii category.

Tabiri unavyoweza lakini ukae ukijua ukijua ya kwamba timu moja imepewa goli moja la kufikirika.

Kwenye hii mechi ya Man U vs Leicester city, ilikuwa si vyema kuweka matokeo ya sare kwenye handcap... ni dhahiri kabisa United angepata ushindi unaozidi tofauti ya goli 1.
Watu wengi waliitumia hii mechi kwenye category ya NORMAL.
 
Mkuu ujajibu swali, handcap ilikubali? Matokeo ya mwisho yalikuwa hivi 3-1 united wakishinda. Kwani ni yasiwe 3-2 pamoja na goli walilopewa city unaloita lakufikirika.

Funguka
 
Weka vitu watu tukuelewe. Mfano wa mechi iliyopita kati ya Manchester united na Leicester city, city walipewa +1 game ikaisha kwa 3-1. Hapa handicap imekubali? Navyofahamu Mimi handicap lazima umzidi mwenzako kwa goli 2.

Ufafanuzi tafadhali

Handcap zinatofautiana kwa mfano unakuta mech kat ya man utd ya juz na city ile ya 3-1 bet nying wanaweka alama hiz za + & - anayepewa alama ya toa anatakiwa amfunge mwenzake kwa kumzid iwe gol moja au mawil au na kuendelea itategemea na namba iliyopo mbele ya alama ya kitoa kwa mfano hii -1.5 inamaana man utd amfunge city kwa tofaut ya gol mbil au zaid.kama ukikuta -2 ni zaid ya magol 2 man azid.Sasa hyo alama ya + ni kinyume chake yaan ispotokea man akashinda zaid ya gol hizo.kwa game ya man utd juzi katoa handcap ya-1& -1.5 yaan kamzid kwa zaid ya gol moja
 
jamani mmeamkaje jana malaga kaniua vipi hawa m-bet mbona wanasema hakuna much hadi saa saa hizi wanafunguka saa ngapi?
 
Business imekua ngumu sanaaa, toka January nimehamia ktk horse racing napo pia balaa, track zinateleza kweli kweli hahahaha
 
Ahsante mkuu sergey. Mimi huwa nafanya betting kupitia premier betting, hizi salama Mara nyingi inakuwa +1. Swali linakuja hivi. Mfano mechi ya Leo man u vs cambridge . Cambridge kapewa +1 nikiweka handicap kuwa man atashinda, na akashinda 2-0 hapo handcap imekubali?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…