Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Sidhani kama utakuwa umeliwa maana ww unachaongalia ni ndani ya dk zile 28 lisifungwe goli. Sina hakika sana Lakini labda wenye uelewa na hii kitu wafafanue vizuri
Kama goli halitapatikana baada ya dk 28 za mwanzo (yani game ikiisha 0-0), UMELIWA (a.k.a BET is LOST).