Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mamaeee kanji mtu mbaya sana ana mbinu za kila aina daaaahhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha leo uhaba wa magoli utakuepo sana hapa nacheki mechi ya acmilan yaani wanacheza mpira mbovu sana
 
Hertha BSC - FC Zorya Lugansk
yes and Over 2.5 goals
2.58

1. FC Cologne - FC BATE Borisov
yes and Over 2.5 goals
2.50

Lazio Roma - OGC Nice
yes and Over 2.5 goals
2.10

Total Odds 13.55
 
Hatari....[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hela niliyo weka leo mm muhindi akinipiga nahic nitakua kichaaa maana mpaka now machozi yameshaa anza kunirenga cjui kesho nitajificha wapi mm[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Leo kona zitatoa sana, bado tuna muda wa kucheza za saa tano.

Pia, 28+ naona inaweza kuwa kimbilio letu. Ila GG na Over 2.5 goals. Tuombe mungu tu..
 
Kwa hela niliyo weka leo mm muhindi akinipiga nahic nitakua kichaaa maana mpaka now machozi yameshaa anza kunirenga cjui kesho nitajificha wapi mm[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ila muda bdo mkuu zitatoa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…