Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

02.11.2017
Uefa Europa League
Lazio – Nice 1 (1,55)

Uefa Europa League
Partizan – Skenderbeu 1 (1,55)

Uefa Europa League
Arsenal – Crvena Zvezda 1 (1,40)
02.11.2017
UEFA Europa League
HNK Rijeka - FK Austria Vienna
Over(2.5)1.52

UEFA Europa League
FC Viktoria Plzen - FC Lugano
Over(2.5)1.53

TOTAL ODDS: 2.33 natest mitambo ya application Fulani hivi
 
PREMIERBET KWANGU WATABAKIA KUWA KAMPUNI BORA YA KUBETISHA TZ
Mkuu lakini ni kama vile wana mechi chache na ni kwa wakati fulani fulani mf saa saba mchana utakuta meremidian wana mechi 20 live ila premiee wanakuambia no live event avalable. Au juna version tofauti tofauti?
 
kwenye live/inplays ndio hua wana zingua kwa kuweka ops chache ila kuhusu ubora kuanzia
idadi ya mechi
wingi wa options
Network stability [Ni nadra sana kuto ikuta ikiwa hewani]
Deposits ni Paaaaap
ila kwenye kutoa/withdraw sasa Pesa uliyo wapiga
ndipo walipo feli apaa

Kwa hili waji rekebishe kwa kweli
 
Mkuu lakini ni kama vile wana mechi chache na ni kwa wakati fulani fulani mf saa saba mchana utakuta meremidian wana mechi 20 live ila premiee wanakuambia no live event avalable. Au juna version tofauti tofauti?
Ni kweli kwenye live wanaweka mechi chache kuliko meridian ila wanaweka mechi zote muhimu,meridian kwenye live event wanaweka hata vitimu vidog vidogo..ila premier betting ndo babalao system ipo stable mpaka raha na odds za kushiba
 
Bila kusahau kuwa NA kodi wanakulipia wao.
 
02.11.2017
Uefa Europa League
Lazio – Nice 1 (1,55)

Uefa Europa League
Partizan – Skenderbeu 1 (1,55)

Uefa Europa League
Arsenal – Crvena Zvezda 1 (1,40)
02.11.2017
UEFA Europa League
HNK Rijeka - FK Austria Vienna
Over(2.5)1.52

UEFA Europa League
FC Viktoria Plzen - FC Lugano
Over(2.5)1.53

TOTAL ODDS: 2.33 natest mitambo ya application Fulani hivi
Ukifanikiwa uwe unatupia humu pia
 
Madau eti hii option ya player sent off inamaana red card itokee??
 
Back
Top Bottom