Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Pole mkuu ni hasira usijali, Niwie RadhiDah! Kwa hili tusi ulilotukana jamaa sijui ata nisemeje yani..... Anyway acha nikae kmy ahsante
Pole mkuu ni hasira usijali, Niwie RadhiDah! Kwa hili tusi ulilotukana jamaa sijui ata nisemeje yani..... Anyway acha nikae kmy ahsante
We jamaa hunijui sikujui lkn hamna tatizo asante kwa maoni yako dahInaonekana mazungumzo yetu yamekukeketa sana nilikuwa naheshimu mawazo yako mwanzoni ulipokuwa umechangia hapa ila hapo mwishoni unamaliza kwa kutusi imenifanya nikuoena kilaza ambaye huna hili wa lile nilikuwa naheshimu sana ukosoaji wako ila haikutakiwa urukeruke sana hadi kuanza kutoa lugha za ajabu, unasem kuna watu humu unawaheshimu heshima gani hiyo sasa unaonesha kwao.
Wanaume walikuwa kwenye mzuzano ulipaswa ukae jikoni tuyamalize wenyewe sasa kuja kwako huku inaonekana kama kuna mwanaume mmoja kati ya hawa wawili waliokuwa wanazozana anakumiliki.
Pumbavu sana.
Haya yameisha mkuu tuendelee na kampeni yetu, palipo wanaume hapakosi purukushani.We jamaa hunijui sikujui lkn hamna tatizo asante kwa maoni yako dah
Hili jukwaa mliomnyoosha kanji jana mnishukuru sana mimi yani nisipobet humu watu kicheko nikitandika mkekaa humu majonzi.....bas na leo sibet
Hata mm bado kimya mkuu ... imebidi niwe mpole tu, nmewatumia email hawajarespond pia.
Premier wanazingua sana, wacheki hapa +255 62 606 4800
Thanks kamanda ... niliwacheck muda flan kwa WhatsApp wanasoma texts zangu lakini hawarespond. Wapuuzi sn nmeamua niwaache watakapojiskia kuniwekea wataweka.
Nami nimo humu.wazee kwa wale tuliozaliwa kati ya juni 21 - july 20
leo ni tarehe yetu ya kupiga pesa kupitia kubashiri
leo nyota yetu inatawala wekeni mkeka leo ni sku yetu
Mimi wameniambia mpaka kesho, muamala wangu haujapelekwa voda. Wanazingua sana.
Sportpesa ukibonyeza tu withdraw hapo hapo hela imeingia mpesaNiko huko pia, juz kati walinikera kila nikiweka mkeka nikitaka kulipia napata error "Line #4 is not active" ... wkt unakuta game inaanza baada ya masaa kadhaa. Ni premierbet tu ndo hakuna kero wkt wa kuweka mkeka, yani unaweka ukiwa umerelax. Their only problem ni cash "Withdraw"
Mimi nimewithdraw saa 3 asubuhi imeingia mida ya saa 8 mchana hivi.Kuna mdau amepokea chake kupitia premier bet siku ya leo maana toka jana naona kimya hadi mda huu.
Cc: Buddy
Raphael wa Ureno
Mimi nimewithdraw saa 3 asubuhi imeingia mida ya saa 8 mchana hivi.
Kwa premier ni vizuri kuwithdraw kuanzia saa 2 asubuhi maana ukiwithdraw usiku sana uwa wanazingua kuingiza Hela sijui tatizo ni nini.
Pia angalia kama umewithdraw fresh tigopesa/Mpesa sometimes kuna kujichanganya na kuwithdraw kwa njia ya Voucher.
Hapo ndo wanapofeli,jaribu kuwacheki kwenye namba yao ya whatsapp watakusaidia.Ok noted, next time ntasubiri asbh kukuche ndio niwithdraw.
Ila huu ni ukiritimba wa kizamani, mkekabet ni 24/7 unawithdraw na within a minute hela unaipata.
Tuko kwenye dunia ya ushindani, hawawezi wakaendelea na hizi policies za kizamani. They MUST improve on this.
Niliwithdraw mida mibovu baada ya game nikajua asubuhi na mapema napata ya supu.Mimi nimewithdraw saa 3 asubuhi imeingia mida ya saa 8 mchana hivi.
Kwa premier ni vizuri kuwithdraw kuanzia saa 2 asubuhi maana ukiwithdraw usiku sana uwa wanazingua kuingiza Hela sijui tatizo ni nini.
Pia angalia kama umewithdraw fresh tigopesa/Mpesa sometimes kuna kujichanganya na kuwithdraw kwa njia ya Voucher.
Ilo ndo tatizo lao,sasa sijui uwa wanalala.Niliwithdraw mida mibovu baada ya game nikajua asubuhi na mapema napata ya supu.
Nashukuru sana nilikuwa sifahamu hiyo issue.
Ila hadi sasa kimya
Hapo ndo wanapofeli,jaribu kuwacheki kwenye namba yao ya whatsapp watakusaidia.
Nipe odds 4 nitembee na wewe.Aah ngoja niendelee kugonga K-Vant yangu hapa na mishkaki nikisubiri game yetu ya EUROPA, wataniwekea tu hata ikipita wiki.
Kesho nitawapigia niwape povu langu kidogo.
Zile za jana nikawatoa wale wa saudia arabia nikajiongeza na Shaktar nikatoa kitu cha hatari...BET WONAah ngoja niendelee kugonga K-Vant yangu hapa na mishkaki nikisubiri game yetu ya EUROPA, wataniwekea tu hata ikipita wiki.
Kesho nitawapigia niwape povu langu kidogo.
Zile za jana nikawatoa wale wa saudia arabia nikajiongeza na Shaktar nikatoa kitu cha hatari...BET WON