Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Ngoja nisubili niokote na kwako mkuu wise.Asante sana Chief, ngoja niokote okote kisha nitaweka nilichokipata
Ngoja nisubili niokote na kwako mkuu wise.Asante sana Chief, ngoja niokote okote kisha nitaweka nilichokipata
Njoo princess bet
Ni kweli Maana Mimi huwa some time game za basketball hutokea ivo . Ila nowdays wako PoaNiko huko pia, juz kati walinikera kila nikiweka mkeka nikitaka kulipia napata error "Line #4 is not active" ... wkt unakuta game inaanza baada ya masaa kadhaa. Ni premierbet tu ndo hakuna kero wkt wa kuweka mkeka, yani unaweka ukiwa umerelax. Their only problem ni cash "Withdraw"
labda ww ulivyopost mkeka uliokwisha cheza ulikuwa maana gani??au ulihitaji watu wajue umekula?wakupongeze?Inasikitisha sana kuona kitu kidogo kinasababisha mtu uanzishe Povu lisilokuwa na maana yeyote. Nadhani ni vema mtu kama una dukuduku ukalisema mara moja kisha watu wa concentrate kwenye kumuwinda muhindi lakini sio kuongea ongea jambo hilo hilo moja utadhani ndio msingi wa hili jukwaa.
Nasema hivi, kuna wakati tujifunze kuheshimu hisia za mtu hata kama sometimes hupendi. Mimi nadhani huna sababu ya kumzuia mtu aliepost bet aliyoshinda humu kwa sababu hajavunja sheria yeyote anaexpress emotions zake hivyo kwa kuwa jukwaa hili ni huru acha afanye hivyo.
Kuna wakati mtu unaweza ukawa unakerwa na post za mtu flani lakini endelea kukereka hivyo hivyo ila hauna mamlaka ya kuzuia asipost anachojisikia labda ungekuwa moderator hapo ungeweza kuzuia hicho kwa kuwa ungekuwa na mamlaka ya kufuta post za muhusika.
Binafsi huwa napenda nifanikiwe na wenzangu kila siku. Nilieleza kilichotokea jana nikashindwa kupost mkeka wangu humu. Lakini nimeshangaa mtu anayetuattack kwa sababu hiyo..... Who are you by the way?? wew ni nani humu jukwaani??? Are you a ruler???
Nasema tena hivi tujifunze kuheshimu hisia za mtu,, that's it! Lengo letu ni moja hapa. Hakuna anayetaka yeye au mwenzake apoteze dhidi ya Kanji. Ikitokea mtu ameshindwa kushea mkeka wake kwa sababu mbali mbali basi isiwe sababu ya mtu kutokwa na Povu hapa. Tunatofautiana hapa wengine wako busy sana wengine wako na ample time mtu anaweza shindwa kupost au akapost late kwa sababu alikua busy sana au hata umeme anapokaa ni wa shida, hivyo tusilete udictator usio na maana humu ndani.
Najua tuna mission moja humu, let's keep the fight. Sio kuleta mipovu ya kina dada humu hatuwezi fika kwa style hiyo.....
Hata ROMA hahikujengwa kwa siku moja.
Odds 4.136![]()
Full time mkuuMkuu hiz unacheza first Half or Full Time
Kuna mdau amepokea chake kupitia premier bet siku ya leo maana toka jana naona kimya hadi mda huu.
Cc: Buddy
Raphael wa Ureno
Haya yameisha kitambo sana watu wameyatunza kwenye maktaba.labda ww ulivyopost mkeka uliokwisha cheza ulikuwa maana gani??au ulihitaji watu wajue umekula?wakupongeze?
Hapana kwangu mimi sikuwithdraw ila pesa itatumwa tu japo kuchelewa kwao kunatufanya tuchoke na huduma zao ila watabadilika tu maana tupo zama za mabadiliko.Kuna mdau amepokea chake kupitia premier bet siku ya leo maana toka jana naona kimya hadi mda huu.
Cc: Buddy
Raphael wa Ureno
Dah! Kwa hili tusi ulilotukana jamaa sijui ata nisemeje yani..... Anyway acha nikae kmy ahsanteUngepata hasara gani ungechangia bila kutoa tusi? Mkuu hatujuani hvyo udada wako usitake niujue na usitake kila mmoja aujue kama wewe ni mpumbavu "unapenda udada basi si vibaya ukaonesha wazi".