Inasikitisha sana kuona kitu kidogo kinasababisha mtu uanzishe Povu lisilokuwa na maana yeyote. Nadhani ni vema mtu kama una dukuduku ukalisema mara moja kisha watu wa concentrate kwenye kumuwinda muhindi lakini sio kuongea ongea jambo hilo hilo moja utadhani ndio msingi wa hili jukwaa.
Nasema hivi, kuna wakati tujifunze kuheshimu hisia za mtu hata kama sometimes hupendi. Mimi nadhani huna sababu ya kumzuia mtu aliepost bet aliyoshinda humu kwa sababu hajavunja sheria yeyote anaexpress emotions zake hivyo kwa kuwa jukwaa hili ni huru acha afanye hivyo.
Kuna wakati mtu unaweza ukawa unakerwa na post za mtu flani lakini endelea kukereka hivyo hivyo ila hauna mamlaka ya kuzuia asipost anachojisikia labda ungekuwa moderator hapo ungeweza kuzuia hicho kwa kuwa ungekuwa na mamlaka ya kufuta post za muhusika.
Binafsi huwa napenda nifanikiwe na wenzangu kila siku. Nilieleza kilichotokea jana nikashindwa kupost mkeka wangu humu. Lakini nimeshangaa mtu anayetuattack kwa sababu hiyo..... Who are you by the way?? wew ni nani humu jukwaani??? Are you a ruler???
Nasema tena hivi tujifunze kuheshimu hisia za mtu,, that's it! Lengo letu ni moja hapa. Hakuna anayetaka yeye au mwenzake apoteze dhidi ya Kanji. Ikitokea mtu ameshindwa kushea mkeka wake kwa sababu mbali mbali basi isiwe sababu ya mtu kutokwa na Povu hapa. Tunatofautiana hapa wengine wako busy sana wengine wako na ample time mtu anaweza shindwa kupost au akapost late kwa sababu alikua busy sana au hata umeme anapokaa ni wa shida, hivyo tusilete udictator usio na maana humu ndani.
Najua tuna mission moja humu, let's keep the fight. Sio kuleta mipovu ya kina dada humu hatuwezi fika kwa style hiyo.....