Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sawa asante nimeelewa sasa hapa umeiweka ili tujue umeshinda au tubet?
Mkuu mbona povu..
Ila jukwaa la mikeka au la siasa? Mkeka unapokuja hapa sio kosa pia kuna mtu anajifunza kupitia huo mkeka kuwa inawezekana kufata odds flani na ukawin...au kubet dakika flani na ukawin...bettng ni risk na betng ujasiri unaweza kujifunza kupitia baadhi ya odds humo...
 
Nani alikwambia mikeka ya juzi itakuwa sawa na leo? Wewe hujauweka hapa wakati unabet ukishinda unauleta hapa ili tuchukue odds kwa miaka ijayo au una maana gani?

Pesa za Muhindi sio zako wala zangu hata wote humu ndani tukishinda Mil 50 kila mmoja haikupunguzii chochote maishani mwako wala maishani mwangu, Suala la ajabu ni kuleta mikeka ambayo imetumika huo ni unafiki wa hali ya juu kama uko sambamba na wenzako hauna haja ya kuleta vimikeka vilivyokwisha tumika ni sawa na Kondom.

Weka mikeka hapa watu wachambue ikitokea wameshinda iwe kheri kwa wote sasa humu unaleta makombo nani ale? Badilika wanaume huwa hawana vitabia vya kike hivyo.
 
Mkuu utafeli daily km unategemea kuchambua mikeka ya watu fata isia zako km unavyotafuta pesa yako mwenyewe bettng kwa kutumia mawazo yako...hakuna mwenye matokeo ya game..toka uanze kuchambua mikeka ya watu na kucopy na kupaste umekula mara ngap? Why usijiongeze ndio maana umeumbwa binadamu sio punda acha kupenda ganda la ndiz....
 
Nimeelewa mara nyingine naweza kukuta naelewesha Chizi kuvuka barabara, kila la kheri ila tambua kuwa kuna watu humu kila kukicha wanashinda kwa kutumia mawazo ya wenzao.

Kila la kheri usisahau kuleta Mikeka ya zamani tuchukue odds.
 
Uvuvi wa kufikir huo unafataje mawazo ya mwenzako ktk bettng.? Km ndio tabia yako acha usicopy na kupaste mkuu...ndio nyie mnaouziwa odds eeeh then mnakuja kusema mmetapeliwa wew bet kwa isia zako pesa ni ya kwako
 
Najua hata wewe mawazo yako yana walakini ndiyo maana upo hapa jukwaani ungekuwa unajitosheleza katika Betting usingekuwa unazagaa hapa ungekuwa umetulia unabet.

Ukiwa hapa jukwaani ni sababu tosha kuwa upo kundini sasa ukisema "uvivu wa kufikiria unakuwa unadanganya kichwa chako maana hata chenyewe kimekuleta huku kutokana na uvivu wa kufikiria uliopo kichwani mwako".

Betting ni Bahati sio ujuvi wa kufikiri wala nini kuna siku wavivu wa kufikiri watakushangaza.
 
Wale wa kushika roho. Twende kazi sasa, ngumu kumeza, lakini hutokea mara chache chache..!
a35f5d43854775c29502d727ae962e88.jpg
 
Najua hata wewe mawazo yako yana walakini ndiyo maana upo hapa jukwaani ungekuwa unajitosheleza katika Betting usingekuwa unazagaa hapa ungekuwa umetulia unabet.

Ukiwa hapa jukwaani ni sababu tosha kuwa upo kundini sasa ukisema "uvivu wa kufikiria unakuwa unadanganya kichwa chako maana hata chenyewe kimekuleta huku kutokana na uvivu wa kufikiria uliopo kichwani mwako".

Betting ni Bahati sio ujuvi wa kufikiri wala nini kuna siku wavivu wa kufikiri watakushangaza.
Bettng kwangu ni km sport tu mkuu mybe km wew mgeni wa ili jukwaa...inaonekana unaifanya betng sehem ya kukuingizia kipato eeh ndio maana unachuki na betng za won...nabet siku nilisikia kubet km vile nikisijika hamu ya kunywa maji ya madafu sio..ila maji ya kawaida ni lazima ninywe kila siku...so km umeifanya betng ndio maisha yako kutwa humu jiandae kuwa km mteja wa unga...betng kwa ustarabu kwa afya yako.
 
Ukishinda naomba nitumie mkeka niuchambue kesho nitandike, uwezo wangu wa kufikiria ni mdogo sana.
 
M ilnsumbua saanaa mzee , mpk nkawapgia wakanfngulia kla KTU m nlkuja change password tu.kukutmia verification inasmbua sana.tatizo lilikuwa kama hlohlo lako
Uliwapigia kupitia namba gan mkuu
 
It's high time Premierbet waimprove kwenye kutoa hela "Withdraws" km ilivyo kwenye kuweka "Deposits"... wabadili policy zao. Wamebaki wao tu ndo wacheleweshaji. Wengine wote wameimprove na hela inapatikana in less than 5mins.

Hawa jamaa kwny ku-withdraw ni shida ... hela imetolewa toka saa saba na robo usiku mpk saiv kimyaa. Yani km unashida na hela ya haraka huku sio kwa kuweka mzigo.

upload_2017-11-2_13-56-49.png
 
Back
Top Bottom