Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Pole sana mkuumkuu nashukuru kwa tips ila ndio hivyo liverpool kazingua
Pole sana mkuumkuu nashukuru kwa tips ila ndio hivyo liverpool kazingua
Tia jamvi wa Ureno nichambue.Jana jamvi la Odds 6000 limechanwa na timu 3 siwezi kukoma hadi lengo langu litimie.
Lipo Hapo juu la EUROPA mkuu hebu na wewe dadavuaTia jamvi wa Ureno nichambue.
Mkuu cna cha kuongeza, nachukua zenye kuanzia 1.50 na kurndelea natia jamvi. Bahati iko kwetu leo.Lipo Hapo juu la EUROPA mkuu hebu na wewe dadavua
tena unafiki wa hali ya juu mkuu!!unauweka wa nn sasa wkt game ishapita?Kuna watu humu wakishinda ndio wanaweka mikeka yao "Betting ni Before sio After" kama ulishindwa kuuweka hapa kabla hata ukishinda kaa nao huko huko.
Kwa wanaume huo ni sawa na unafiki.
Sikuona ujumbe mkuu ila samahani sana.
Wakati watu wanaomba mikeka wapo kimya wakishinda 3000 hao na mikeka yao.tena unafiki wa hali ya juu mkuu!!unauweka wa nn sasa wkt game ishapita?
Sawa mkuu ila kwenye hizo timu zote nilizoweka zinafungika na kufunga ni rahisi sana mkeka ukawa sawa, hata kona pia zinatoka sana.Mkuu cna cha kuongeza, nachukua zenye kuanzia 1.50 na kurndelea natia jamvi. Bahati iko kwetu leo.
Mkuu naogopa DW kama ukomaembu tuchambue chambue tujaribu hii pasi ndefu. weekend hii naona premier legue hailiki labda Ujerumani
Asante Sana mkuuView attachment 621975
kikosi cha madrid leo beki itakua mbovu, huku dele ali akiwemo, madrid leo atapigwa nyingi, mimi nimeweka Tsh 25000/= ungana na mimi leo madrid anakufa
kunakuwaga na 1.5 over kibao.Mkuu naogopa DW kama ukoma
hapo huyo mfaransa ungempa 1.5 ila tuone kila la kheri brother
ngoja tuone![]()
yani utafikiri bado wanadunduliza mtaji
It's high time Premierbet waimprove kwenye kutoa hela "Withdraws" km ilivyo kwenye kuweka "Deposits"... wabadili policy zao. Wamebaki wao tu ndo wacheleweshaji. Wengine wote wameimprove na hela inapatikana in less than 5mins.
yani utafikiri bado wanadunduliza mtaji