Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

4b835c187090511eb1e2b8dae7fc926c.jpg

Kuna option unaweza ukasema ni rahisi.... Lakini.....!!!!???![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
mkuu kapun gani hiyo inatoa option kama hiyo, pia na ile 1st goal 28dk. naomba jibu tafadhali
 
meridian wananigomea kujiunga, kila nikijaribu naambiwa "your email already joined" nikisema ni log in naambiwa your account not found
Fungua email mpya kisha ufungue akaunti nyingine ya meridian
 
meridian wananigomea kujiunga, kila nikijaribu naambiwa "your email already joined" nikisema ni log in naambiwa your account not found
Unatumia app au web(ukitumia ingia tumia chrome) pia hakikisha first capital letter kwenye email yako mkuu.
 
Nitaweka jamvi zima la EUROPA League ngoja network ikae sawa, nashindwa ku-upload picha.
 
aa06c2f9a797b1d1a5be29927d105a0a.jpg
bd4caa8c58043bfa2403f7a53a7a74b3.jpg
0f458c9764c24f9670b3897be830f962.jpg

Sioni ajabu kupoteza 1000 yangu kwa kufanya majaribio ya masafa marefu kwenye bahari ya India, majaribio haya ni kwa ajili ya kujilinda mimi na utawala wa kanji.

Ungana nami kwa majaribio haya........ Leo sioni mchawi hapo.
 
Nakufuata[emoji473][emoji473]
 
Back
Top Bottom