Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kama unataka kuwini uambulie hela ya supu kesho tambaa na mkeka huu wa dakika 45 tu(first half only)... real madrid draw liverpool draw pasgianina draw fcbraga draw.. tembea nao tupia elfu kumi uamke na milion moja kesho..!
 
Game za Pesa ya bure leo

Altinordu vs Kayserispor Tip Away win Odds 2.50
Asyouty Sport vs Haras El Hodood Tip Away win Odds 2.10
Borrusia dortmund vs Augsburg Tip Away Win or Draw Odds 2.80
Konyaspor vs Genclerbirligi Tip Away Win or Draw Odds 2.20
Total Odds = 32.34
 
kama unataka kuwini uambulie hela ya supu kesho tambaa na mkeka huu wa dakika 45 tu(first half only)... real madrid draw liverpool draw pasgianina draw fcbraga draw.. tembea nao tupia elfu kumi uamke na milion moja kesho..!

Mh....!!!
 
Mkuu tuelimishane basi ukiweka mfano elfu kumi ukishinda unapewa shilingi ngapi? kwa normal sio handcuap
 
Half Time/Full Time:set 8947
15-7
19-3
Total odds 2091-kwa Jero =1,045,500 Tsh
 
Mkuu hii inakuaje

Mkuu hii kitu inaitwa GIN.Unabashiri matokeo half time/full time.
Mfano:
Jana Fulham vs Sunderland
-unabashiri Fulham waongoze kipindi cha kwanza,halafu Sunderland waje kuchomoa kipindi cha pili washinde game.(odd ilikuwa 29)

-Shelfield vs Preston ilitokea kama hiyo hapo juu kwenye game ya Sunderland.(odd ilikuwa 33)

total odds za timu zote hapo juu (29*33= 957)

Chukua total odds,zidisha na dau lako ambalo ungetupia.
Mfano ungeweka buku ungepiga
1,000*957=957,000
Thnx
 
Real madrid win
liverpool win
Napoli win
zwolle win
Dortmund win

mwisho wa siku dortmund kapigwa, kanichania mkeka tena akiwa home dhidi ya augsburg
wakiwa pungufu !!!

This season dortmund hafai kabisa.
 
Hii kitu nimeipenda sana mkuu
Hapa ndio pakuponea sasa timu mbili unapiga mzgo wa maana
 
Mimi nimebashiri gem mbili ya liver na ya RMA zote nimepiga,nimecheza m.bet *149*19# ebu niambieni watanilipa?
 
Real madrid win
liverpool win
Napoli win
zwolle win
Dortmund win

mwisho wa siku dortmund kapigwa, kanichania mkeka tena akiwa home dhidi ya augsburg
wakiwa pungufu !!!

This season dortmund hafai kabisa.

Dormund jana kanipiga 40000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…