Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

i mean tukae chini tupige dili za kutafuta pesa halali na sio bahati na sibu
 
Hapa 1st half draw prediction tu ndo mpango japo Anderlecht kaniua jana kaninyima laki. Bado nina machungu but ntamtusua Muhindi tuu.
 
Issue iko katika kuongoza katika kipindi kipi? Kama aston villa lets say anaongoza first half 1-0. West ham for instance akaja akashinda 1-0 second half. Umetusua. Issue sio droo hapa

Mkuu naona umedandia treni kwa mbele bila kufahamu nilichoeleza hapo juu.Halafu kwenye mpira hakuna kitu kama ulichoelezea hapo juu,timu fulani kuongoza kipindi cha kwanza kwa goli moja halafu mpinzani akaja kusawazisha kipindi cha pili kwa goli moja halafu ukasema timu pinzani imeshinda game.
 
Mkuu hii inakuaje

Hi 17 na 19 tunaita Fixture # ni namba tu za mechi mfano Mechi namba 2 Man u vs Asenal,,au mech namba 4.chels vs liva katika set namba flan...kila mechi inakua na set namba yake yan namba ya lile karatas ambapo mech zmeorodheshwa pale mfano set 8654
Ukija sasa kweny hizo namba alzotmia mdau apo juu ni namba zilizopo kwenye Set inaitwa halftime/full time yaani io unabashir matokeo ya mech Kipindi.cha.kwanza na kipind cha pili pia
Mfano chels vs Liva unatabir had kipind cha 1 kinaisha Liva atakua anaongoza kwa magoli kadhaa alaf kipind ch pil unatabir pia labda Chels atasawazisha ,,na kuongeza au labda Liva ataongeza goli!!hii set n ngum sana kuioteaa lakini ina points nyiingii sana ndo mana tunaitaga 'NgumuKumeza' !!
 
Nashukuru kwa maelezo ntaanza haka kamchezo
 
Nashukuru kwa maelezo ntaanza haka kamchezo

Hapa hapa naomba kuuliza swali kwamfano mm leo nimebet

Panthrakikos vs Ael kallon
Kukawa na point za namna hii
1-1 2-1 2-2 1-x 2-x x-x
1-1 1-2 2-2 x-1 x-2 x-x
Sasa hapo nashindwa kuelewa unachaguaje ili uweze kuibuka mshindi katika hizo timu mbil hapo naomben maelezo ya kina hapa swali jingine je hiyo n idadi ya magoli ama inawakilisha kitu gani
 
Kuna wale ambao ninaweza kuwaita " Dare Devils ".

Mfano: Chelsea vs Qpr
Anamwakea Chelsea

Barcelona vs espanol
Anamwakea Barca.

Real Madrid vs Malaga
Anamwakea Madrid.
Alafu anadondosha Tsh 100,000/=.

Utashindwa vipi kula pesa za tajiri.

Mhh hii labda inatokea mara moja kwa mwaka aisee
 
Back
Top Bottom