Hiyo hiyo mkuuile ya odds chache sio??
ahahah jana vigogo wote wamebondwa bondwa niliweka 20k nikitegemea kupata zaidi ya kilo moja na nusu lakini haikuwa hivyo.Twende sawa mkuu, jana nililala mbele na mkeka wa NHL kuamka asubuhi nikakuta khanji kalala na mimi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kanji karara mbere na pesa yakoTwende sawa mkuu, jana nililala mbele na mkeka wa NHL kuamka asubuhi nikakuta khanji kalala na mimi.
Premierbet bana ... nmesubiri hela weeee, badala ya kuniwekea kwny m-pesa wameirudisha kwny akaunti ya premierbet. Wanataka niitupie wanile .. [emoji36] [emoji36]
Sema hizi NBA na NHL itakuwa poa sana, game zinapigwa 9t. Tutakuwa tunaenda sawa.ahahah jana vigogo wote wamebondwa bondwa niliweka 20k nikitegemea kupata zaidi ya kilo moja na nusu lakini haikuwa hivyo.
Acha tu mkuu Khanji sio mwema kabisa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kanji karara mbere na pesa yako
Pole mkuu Buddy!
Itoe kwa vocha,kesho unaipata hiyo vocha haina longolongoAsante kamanda ... sasa sina jinsi maana siwezi kuwithdraw mpk j'3.
Two options ...
1. Ni subiri mpk j'3 ili niitoe
2. Niiwekeze izalishe (lkn kuna kuipoteza pia) [emoji12][emoji12]. Ni 270K
Itoe kwa vocha,kesho unaipata hiyo vocha haina longolongo
Yeah ukienda bet shop ukiwapa vocha hiyo dakika sifuri tu wanakuhesabia wala hukatwi kama mpesa..ndio option ninayotumia dailyOoh kumbe kuna hiyo option? ... Asante mkuu ... sijawai kutoa kwa Vocha. Ila ndo mpk uende kwny Betshop yao, right?
Ni kweli ila Kama unaweza tupia prediction sake za NBASema hizi NBA na NHL itakuwa poa sana, game zinapigwa 9t. Tutakuwa tunaenda sawa.
2/2 hapo unamaanisha nini ??[ 2 FT ] - Juventude-Ceara [ 2,30 ]
[ 2 / 2 ] - Chacarita- Gimnasia L.P [ 4,20 ]
ODDS: 9,66
SAFE : 1OO1% info from Netherlands
These matches have no chance of failure !!
Kipindi cha kwanza na kipindi cha pili team ya ugenini ishinde
Thanks kiongoziKipindi cha kwanza na kipindi cha pili team ya ugenini ishinde