Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante kamanda ... sasa sina jinsi maana siwezi kuwithdraw mpk j'3.

Two options ...
1. Ni subiri mpk j'3 ili niitoe
2. Niiwekeze izalishe (lkn kuna kuipoteza pia) [emoji12][emoji12]. Ni 270K
Mkuu mtihani ulio nao ni mgumu kuliko hata mtihani wa taifa ulioufanya ukiwa kidato cha nne.
 
MATCH
★ TIME : 23:00
★ Match : Betis - Getafe
★ TIPS : [ 1 / 1 ]
★ ODDS : 4.20
★ SAFETY : %1001 [emoji106]
- As always, matches are maximally safe [emoji818],
 
399fb965392e2ca50630b11cc27747c4.jpg
 
Asante kamanda ... sasa sina jinsi maana siwezi kuwithdraw mpk j'3.

Two options ...
1. Ni subiri mpk j'3 ili niitoe
2. Niiwekeze izalishe (lkn kuna kuipoteza pia) [emoji12][emoji12]. Ni 270K

Kweli inaweza kukutamanisha uibetie na mwisho wa siku wanailwa. Kanji janja sana
 
( 1 FT ) ♡ Almere vs Jong AZ [ 2,25 ]
( 1 FT ) ♡ Tours vs Peronnas [ 2,10 ]
( 2 FT ) ♡ Port Vale vs Oxford [ 2,20 ]
( 1 FT ) ♡ Wolwes vs Fullham [ 2,05 ]
( 1 FT )♡ Setubal vs Aves [ 2,10 ]
( 1 FT ) ♡ Betis vs Getafe [ 2,10 ]

Some predictions for today are not 100% but you can combine these [emoji5]
 
Mambo vipi wazeia!! Kuna mbinu ambayo nafikiri inaweza ikasaidia katika kugawana umasikini kutoka kwa Kanji.

Mbinu yenyewe ni kwamba, unacheza games kwa kutumia option ya under 2.5 First Half. Mbinu hii inafaa zaidi kwa games ngumu, mfano mzuri ni games za Jana (Europa). Kama sikosei hakuna game ambayo iliweza kutoa magoli zaidi ya mawili ndani ya kipindi cha kwanza.

Udhaifu wa mbinu hii ni kwamba inatoa Odds kiduchu, mfano 1.05, 1.06, 1.08, 1.12, na 1.14. Kwa hiyo itakulazimu ucheze games nyingi ili kupata Odds unazotaka. Changamoto nyingine ya option hii pia ni kwamba, haipatikani katika baadhi ya makampuni ya betting kama vile Mbet na Sportpesa. Aidha, Princessbet wanayo na kampuni zingine nisizozijua kama zipo.

"Life+time"
 
wakuu nina shida kubwa sana mbona bet365 kwangu haifunguki website nimetumia kila browser nimebadili lain nimetumia computer wapi TATIZO ni langu tu au

www.bet365.com yan haifunguki
 
Back
Top Bottom