Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
ukiweka under2.5 first half afu wakatoka 0-0 first half utakuwa umepoteza au umepata?
Umepata
ukiweka under2.5 first half afu wakatoka 0-0 first half utakuwa umepoteza au umepata?
Mmh mkuu bia nilizokunywa zinaniambia CAVS kesho anashinda ngoja tuone inawezekana zinanidanganyaHela hii hapa kwa NBA.
![]()
Mmh mkuu bia nilizokunywa zinaniambia CAVS kesho anashinda ngoja tuone inawezekana zinanidanganya
Haina shida mkuu nakuombea mazuri siku zoteMkuu huo mkeka nina imani unatoka, tukutane kesho asbh Chief.
Haina shida mkuu nakuombea mazuri siku zote
yanii Leo nimekatishwa tamaa kabisa sijuii siku ya kushinda mm itakuaje mtu anaongoza league Yuko home kafa goal 4 daaah hivii sijuii nilikosa nn![]()
Asante mkuu ntachukuwa ushauri wakoPole mkuu ... naomba nikuibie siri, kamwe hiyo Eerste Divisie usicheze direct win ... hiyo ligi ni ya 3+, yani hapo ni kufikia tu.
Hasa unapomuona huyo Oss & Almere City ... 3+ huwa ni kugusa tu.
Hahahaaaaaa....bet lost tayari...they are 2 nil down at halftimeMATCH
★ TIME : 23:00
★ Match : Betis - Getafe
★ TIPS : [ 1 / 1 ]
★ ODDS : 4.20
★ SAFETY : %1001 [emoji106]
- As always, matches are maximally safe [emoji818],
Asante mkuu ntachukuwa ushauri wako
Sijui tutatoboa?
![]()
Voda unaweza jiunga nayo Ila wanakata pesawakuu, princess bet hawakubali kujiunga na namba tofauti na tigo?