Chicago sio wa kumfunga Orlando duh kwa kweli ni pasua kichwa.
Kampuni gan wakubwa
Hili tatizo ata kwanguNa mm nlikuwa napata hii kitu sijapata msaada hadi leo, nkaamua kuachana nao !
Chakushangaza nlienda betshop zao wafanyakaz et hawajui Kama unaweza deposit kwa mobile money ikabd tu nisepeNa mm nlikuwa napata hii kitu sijapata msaada hadi leo, nkaamua kuachana nao !
Asante kamanda ... sasa sina jinsi maana siwezi kuwithdraw mpk j'3.
Two options ...
1. Ni subiri mpk j'3 ili niitoe
2. Niiwekeze izalishe (lkn kuna kuipoteza pia) [emoji12][emoji12]. Ni 270K
Meridian bet, premier bet, princess bet, mkeka bet nkKampuni ipi nzuri yenye options nyingi? Natumia M bet na meridian bet
Bet won[emoji4]![]()
Thank me later [emoji4]
Chakushangaza nlienda betshop zao wafanyakaz et hawajui Kama unaweza deposit kwa mobile money ikabd tu nisepe
Na mimi wameirudisha, lengo lao ni tubetie leo. Nasubiri J3 asubui niitoe[emoji3]