Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

iyo 5mns x kampun gn?
 
Stakehouse
 

Attachments

  • IMG-20171104-WA0113.jpg
    11.9 KB · Views: 69
Hv nitajuaje kama ticket yangu ya m-bet imeshinda? Nimecheza perfect 12 jana ila hawaoneshi kama nime lost au nime win.......msaada tafadhali<br />NB: M-bet App
 
jamani waungwana naomba mtu aniazime elf kumi !ntarejesha hali yangu sio nzuri kwa leo!!natanguliza shukurani kwa atakayeguswa na shida yangu
 
kweli wanakata viuno, duuh ! ... yani leo hadi jembe Orlando amekaa .. kaazi kwl kwl .
Sijawai bet kikapu direct win...naziogopa balaa na bet over under total point na live game tu..prematch nazo naona magumashi
Hahahah, koncho77 ni bia gani hiyo unayokunywa na mm niwe napiga kabla sijatupia mkeka? Wizards kapigwa home court, Lol !
 
*5V6BVMH*

3561 Championship
Bolton - Norwich City

*Over(1.5) 1.25*

3564 Championship
Millwall - Burton Albion

*Over(1.5) 1.27*

3562 Championship
Derby County - Reading

*Over(1.5) 1.38*

*Odd 2.19*
 
Duuh kuamka huo muda wa NBA ili ucheze InPlay aisee inahitaji commitment ya hali ya juu.
Asee nishazoea kiongozi..yan now ikifika sa saba tu..nakua macho...na anza na lig za agentina uko kwa bet365..then narudi meridian mida ya sa 2 mpk 5 ...
 
Asee nishazoea kiongozi..yan now ikifika sa saba tu..nakua macho...na anza na lig za agentina uko kwa bet365..then narudi meridian mida ya sa 2 mpk 5 ...
Samahan mkuu bet365 unatumia hela za kibongo kubet? cjawah kuitumia
 
[11/4, 10:45] ‪+234 810 135 4414‬: 4 odds
Road to success✅✅✅✅
Barcelona - Sevilla
1X & Under(4.5) 1.57


Dep. La Coruna - Atl. Madrid
X2 1.19


Borussia Dortmund - Bayern Munich
X - 5min 1.10

The New Saints FC - Barry Town FC
12 & Ov(1.5) 1.27

Monaco - Guingamp
1X & Ov(1.5) 1.32

Angers - PSG
2 or Ov(2.5) 1.10

Nordsjalland - Lyngby
Over(1.5) 1.14
Stake 1000#
Bens tips
[11/4, 10:46] ‪+234 810 135 4414‬: Booking Number: 5V83N5B
 
Mwenye uzoefu na paragonbet...wanatumia pesa za kibongo? Msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…