Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

uziawatu vocha hakuna jinsi mkuu ama wapige ulevha juu
 
Natumia bet365..ila mara nyingi natumia meridian kiongozi
Asante.. pia sorry hii bet365 inahitaji nini na nini kujiunga kwa hapa bongo?. Maana mimi natumia premierbet inachonikera ni haina basketball live sku izi, ingawa nikishinda hakuna kukatwa kodi..
 
Asante.. pia sorry hii bet365 inahitaji nini na nini kujiunga kwa hapa bongo?. Maana mimi natumia premierbet inachonikera ni haina basketball live sku izi, ingawa nikishinda hakuna kukatwa kodi..
Mi natumia master card kiongozi...inabid uwe n account ktk bnk yoyote..inayo tumia mfumo uo.watakwambia uweke baadhi ya taarifa zako kutok ktk iyo card..passport ivyo tu bax n utaverify account yako..ukijiunga watakup pia n bonus ambayo itakua kma startup capital yako

But waweza tumia meridian wako vze pia maan awa 365.uki win pesa inaingia kweny account unapo withdrw n inachukua siku 2-5 wanakua washaiwek ktk account yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…