koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
GSW sio wakujaribiwaHivi haitatokea GSW akashindwa?
Mimi leo namuua kwa first half nampa Miami ana odds 4.51 naweka 5000 tu ni bomu zaidi ya nyuklia.
GSW sio wakujaribiwaHivi haitatokea GSW akashindwa?
Mimi leo namuua kwa first half nampa Miami ana odds 4.51 naweka 5000 tu ni bomu zaidi ya nyuklia.
Apo sahau kiongozi wakijitaidi ni over 201 mwishokwa mwendo huu over kwa GSW leo ya 225 mmh.....
Mkuu hebu naomba msaada wako nipate kuifungua hii kampuni niweze kubet kwenye simu.mhindi amekaa leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23]impossible bro
hudders, nantes,ac milan wanakuchania
Mbona kashindaHuyu AC Milan mpaka akuambie usimzoee au
Hao GSW wanaweza rudi second half kwa spidi na kasi ya ajabuNgoja niipe jicho la tatu
Iyo iliyo isha nimempasua
Mikeka mitatu...under 224..204..na 197
dah acha tu kiongozi ngoja q3 ielekee dk ya 8 ntafanya maamuzi ya kikatiliHao GSW wanaweza rudi second half kwa spidi na kasi ya ajabu
Twende pamoja hapo nimeweka 191naona kama over 195 inatoa ivi...nimejaribu kwa iyo kwa stake ndogo ya 15k
Nimepigwa ya over 195..naona narudisha ela kwa under 185Twende pamoja hapo nimeweka 191
Faida kasepa nayo, mtaji umebaki kesho daybreak pia ni siku ya biashara.Nimepigwa ya over 195..naona narudisha ela kwa under 185
Watairudisha wasiliana nao kupitia email au namba ya wasapHabari zenu wakuu??? Kwa unyonge sana naombeni msaada nilikuwa nawithdraw kwenye Premier bet bahati mbaya nikatumia voucher na huku nilipo siwezi pata betshop..lengo ni kuwithdraw kupitia mpesa naombeni msaada nini naweza fanya sijawahi kutumia voucher.
Natanguliza shukra